Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Sasa yeye alivyowashikilia mlango wenzie kwann akusubilia watoke wote....hafu kwann amtume mvuvi akamchukulie begi lake...na kama mlango audrolic huyo mvuvi aliyemtuma alipitia wapi....Njaaa zingine zitawaua anapepeta mdomo tu ..labda anahisi nae atapewa fulsa aliyopata dogo.

Aache ushamba ...
 
Ndege ikipata ajali milango ya dharura inatumika ambayo inafunguka mechanically hata kama hakuna umeme...milango unayozungumza wewe inafunguliwa na rubani ndege ikitua salama...kasia inaweza kutumika kama umejam

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujanishawishi hii itabidi tupige Practically theory nimegoma, nnavyojua mimi ni ngumu mlango wa ndege kufunguka kwa kupigwa na Kasia
 
Na mavitambi yenu ya ulanzi mkatapelewa na majaliwa kuwa kafungua mlango wa ndege kwa nje kumbe dogo alikua anasachi mabegi ya wahanga 😂
Umeambiwa milango ya Precision Air ni kama mifuniko ya Cooler za kuhifadhia Samaki kwenye boti ambayo ikijam inabutuliwa kwa kupigwa kidogo

Na ndivyo alivyofanya Maja Mnyama wa Bukoba

Karibu Hapa Kunduchi ujifunze
 
Umeambiwa milango ya Precision Air ni kama mifuniko ya Cooler za kuhifadhia Samaki kwenye boti ambayo ikijam inabutuliwa kwa kupigwa kidogo

Na ndivyo alivyofanya Maja Mnyama wa Bukoba

Karibu Hapa Kunduchi ujifunze
Mmetapelewa kirahisi mnoo hadi mkampa smg na askar kumlinda 😂
 
Huyo injinia mbona kama simuelewi anatafuta kiki inamana kwamba kama hao vijana wavuvi wangeamua kushangaa tu kama vile walivyofanya askari yeye eng angewaokowaje abiria wenzake swali la kujiuliza yeye mchango wake mkubwa nini umwamba wake upo wapi ?mbona kama anatumia nguvu kubwa ili kuonesha watu hakuna kitu wavuvi wamefanya . Mtu gani huyu ni msomi lakini haoneshi kutoshukuru juhudi za wavuvi
 
Kuna hadithi fulani kwenye biblia, kijana mmoja alimlaghai baba yake kwa kujiigiza yeye ndio muhusika (ndugu yake), anayetakiwa kupewa baraka. Baada ya kumbariki, ndipo mlengwa akafika; na haikuwezekana tena kwa baba yake kutoa baraka.
Kwa kifupi, aliyewahi ndio ilipangwa iwe hivyo.​
 
With all due respect ningependa pia kujua kama kuna uwezekano wa mlango wa ndege uliojifunga ukapiga na kasia ukafunguka. Wataalamu wa ndege naomba mje na majibu ili nami nitoe tamko kuhusu hili suala. Wengi wenu mnakuja Inbox kutaka kujua maoni yangu kwenye suala la Majaliwa ila subirini kwanza nijibiwe kuhusu mlango.
 
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka

Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic

Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona

Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi

Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.

Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Source: WASAFI TV
Kwa waliopanda ndege, milango ya Ndege hufunguliwa tokea ndani, lakini kuna malalamiko mengitu ya kwamba Majaliwa alishirikiana na wavuvi wengine, wako abiria wanakiri aliyefungua mlango wa ndege nia "air hostess" TZ nchi ya dili, lakini si shangai munakumbuka issue ya "TETEMEKO HALIKULETWA NA SERIKSALI" Kagera Land of fire....
 
Back
Top Bottom