English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

Unaweza kueleza jinsi nyama ni bora kuliko maharage. kwa nini samaki isiwe bora ila myama ? Kwa nini mayai yasiwe bora ?
Kila kitu ni bora. IaLabda ungesema nyama ni ghali
Kwani ukifuga kuku, sungura, mbuzi ukawa unaweza kula hizo nyama mda wowote bado zinaakuwa bora kuliko maharage?
Kinachowachanganya ni gharama sio ubora kwa sababu vina test tofauti.
 
Swala sio pesa, ila unaona kabisa unapoteza pesa, bora uspend theb uone hapa kuna kitu, mara 100 hata nikope nisomeshe International school ijulikane naspendi kwa haki.
 
kikubwa ni lugha.huko za kayumba hakuna Cha elimu au hiyo lugha.Maarifa mengi hapo kwenye lugha za kimataifa ikiwemo hicho kiingereza ambacho mwanafunzi wa kayumba ni kama ardhi na mbingu kukimudu
Hakuna lugha pale, kaa na mtoto wako alie maliza standar seven mpe dictations au mchalange uone
 
Ni kweli mkuu. Nyama hsina lolote
Wapi wana ajiri kwa sababu una mudu kingereza ? Wapi huko wanaojua kingereza wana upendeleo maalumu au ni tabia tu iliojizukia kuhusudu kingereza wakati matumizi yake ni madogo sana hapa nchini. Ukiondoa huko mashuleni wapi utendaji wao unapimwa kwa kingere,a ?
 
Kayumba hizi hizi amba dawati moja wanakaa watoto 8?

Tembeleeni hata madarasa myaone yalivyochakaa, hii itakufanya uwe na uamuzi sahihi wa wapi umpeleke mwanao.

Hali ngumu sana!
Ukiwa na akili unazo tu na bahati mabay elewa kwamba shuleni watoto wananda na akili zao na pale ni kufanya zile akilo zao zifikiria au kuthink, Ukiwa na akili hata ukisomea chini, tumesoma shule za msingi hazina madawati ila tulitoka.
 
Huuo wa kwako anaue soma English medoum ikotoa ile kupanda basi anabaki na nini cha kushow? Usijifariji
 
Kuna ukweli.
Serikali inapaswa kulaumiwa kwa kuacha mfumo wa elimu uchezewe na Watu wabinafsi kwa manufaa binafsi huku Taifa likieama kama Chadema ya Mbowe.
Mfumo wa elimu umechezwa sana, utapeli umeachwa uingie kwenye elimu, watu tunapigwa na tunajifariji. Kuna utapeli mkubwa sana kwenye elimu.
 
Tatizo umejifungia.serikali haiwezi kuajiri watu wote.Kujua lugha ya kiingereza inampa fursa kubwa mwanafunzi kuanzia kibiashara au hata kisiasa.lugha ya kimataifa utaenda Nchi yeyote na ikawa rahisi kwako kunufaika tofauti na wewe na kiswahili chako labda ujikite kuwa chawa hapa nyumbani ili upate teuzi tofauti na hapo soko la ajira litakuwa linakupita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…