Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

Kuna wale wa sigara kubwa (bangi) wanatumia udi vibaya kwani siku hizi huvutia hzo sigara bwege ndani mageton na huchoma udi kila kona.
 
Mama mweny nyumba kila siku anapoenda kulala lazima nisikie harufu ya UDI vyumba vyetu vimepakana hii ina maana gani kwake kaka mshana...!
 
Ushirikina mtupu, total vanity.
 
Mi nikisikia harufu ya udi najihisi vibaya. Mpaka nikamuuliza halafu kajibu labda ni mafuta niliyojipaka. Naomba ushauri kama hii inaweza kuwa na madhara.
Mwambie asiwashe tena udi... Kuna watu naturally hawapatani na udi
 
Mmh kwa maelezo yako pale juu na haya hapa most likely unao hawa wapangaji na hawapendi harufu ya udi
Halafu nilichogundua kwenye hii mada anayependa ubani hapendi udi na anayependa udi hapendi ubani
 
Mama mweny nyumba kila siku anapoenda kulala lazima nisikie harufu ya UDI vyumba vyetu vimepakana hii ina maana gani kwake kaka mshana...!
Kama si urembo basi ni mambo yetu yale
 
Wengine huwa tunachoma udi duka linukie kama la kanjibai.Wala hatujui hayo.Na ni wengi tunafanya vile bila kujua.
 
Mmh kwa maelezo yako pale juu na haya hapa most likely unao hawa wapangaji na hawapendi harufu ya udi
Halafu nilichogundua kwenye hii mada anayependa ubani hapendi udi na anayependa udi hapendi ubani
Tatizo ni kwamba hata niliokuwa naomkwenye gari walisema harufu ilikuwa inawatesa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Wala isikutishe.

Ni katika kupotezea MNUKO wa MMEA.

Kwahiyo MOSHI wa MMEA ukichanganyika na MOSHI wa UDI, inakuwa umekata/umepunguza MAKALI.

Sikutegemea kabisa kukutana na BANDIKO kama hili la kwako.

Kwa kweli Umezama sana.

Baab kubwa
 
UDI una raha yake.

Na umkute MLIMBWENDE ambae anaeujulia.

Nilikuwa na MPENZI wangu mmoja huyo, akienda Kuoga utafurahi.

Maana akitoka BAFUNI, BAFU lote linanukia UDI halafu UDI wake unakaa sana.

Na ukija hapo Mwilini, nakuambia ni noma.

MTOTO ananukia huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…