Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Ni kama chadema tu mnavyotupiga kamba sasa kwamba Dunia nzima hakuna mwenyekiti wa Chama bora kuwahi kutokea kama Mbowe.

Huko mbeleni mtakuja kujiona wajinga sana.
Labda aliekudanganya hivyo ni mumeo ila kwamba chadema ndio waliosema hivyo nakataa
 
Nilikuja sikia eti alinusuru uchumi wa china😂😂😂vigenge vya kahawa hatar sana
Nimeingia Google wanasema kuna kipindi alikuwa mshauri wa masuala ya uchumi kwa serikali ya Uganda early 80/90s.

Ila alipoingia kwenye siasa akili zote zikahama na ni kawaida angalia kina Kitila Mkumbo na Bashiru utaona wanavyokuwa weupe vichwani wakianza kupokea ruzuku.
 
Ni kweli..Mimi nilisia alipata A Kali Sana ya Economics pale Pugu kuliko mtu yeyote Toka uhuru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie Nina A ya Economics na wengi tuu wanazo..

Acheni fix ,A ya advance ni meangless kwenye economics.

Kama wewe ni distinguished economist,Tunga theory Yako tuitumie kama rejea vinginevyo ni stori tuu..
By the way mie Huwa napenda kumtumia Prof.Beni Benanke kwenye rejea za Uchumi.
 
Mzee Lipumba bwana inasemekana alipata GPA ya 5.0 chuo kikuu Mlimani pale.
Toka na hapo akawa mtu muhimu sana anayeweza kumshauri hadi bill Clinton jinsi ya kujenga uchumi wa USA.
Miaka ile akitamba technology bongo ilikuwa nyuma ndiyo maana ulikuwa mtu ukipigwa kamba kwamba mtu fulani siyo wa kawaida kwenye jambo fulani unajaa mazima kutokana na huna pakupata na wewe taarifa zake labda uwe mjanja sana.

Leo vitu vipo mitandaoni ukigusa kila kitu kinashuka ndiyo maana hata umaarufu wake umepotea kizazi hiki hata hakimjui ni nani.
 
-acha chuki za kiboya Prof Lipumba ana degree 4 za Uchumi,
- Prof Lipumba aliwahi kuwa consultant wa, WB , SIDA, mshauri wa uchumi wa serikali ya Uganda
-
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
-acha chuki za kiboya Prof Lipumba ana degree 4 za Uchumi,
- Prof Lipumba aliwahi kuwa consultant wa, WB , SIDA, mshauri wa uchumi wa serikali ya Uganda
-
Hapo pa Uganda sawa ila hapo WB&SIDA pana mashaka kidogo,unaweza labda kupandisha hapa uthibitisho tukaona ili tuamini?
 
Siasa mbaya unapoteza akili zote 😂😂
 
Kama huamini kaulize wazembe wenzio hapo kwenye makorido ya Lumumba watakusaidia, au nyote hamjui?
Mkuu jitahidi sana uwe unaweka siasa pembeni itakuvuruga ubongo sisi hapa tunaongea facts siyo kila mtu anaempinga mtu ni mwanasiasa au hampendi.

Mbona kwa Uganda nimekubali na ni baada ya kuthibitisha kwa kusoma,hii ni 2023 siyo 90s au 2000s useme utamdanganya mtu.
 

..Lipumba ni mchumi mzuri kwa viwango vya Tz, na ukimlinganisha na wachumi wetu kama Mwigulu Nchemba, Philip Mpango, ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…