Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Rekodi ya Lipumba ni ya A-Level ambapo alifaulu vizuri uchumi. Watu tu wamekuza kudhani kwamba ni mkali wa uchumi hadi huko kwingine.

Kwa Tanzania mkali wa Uchumi ni Benno Ndulu (RIP) ndio ameshauri maeneo mengi makubwa
 
Nilichoka kabisa kusikia et lipumba ameinua uchumi wa marekani



Lisu kuwa wakili wa zuma south afr
Kwamba ni bonge la.msomi


Haya. Na mengine sitokuja sahau
 
Kina nani hao walikuwa wanakudanganya?Wahuni siyo watu wazuri. 😂😂😂😂
 
Kweli wewe msanii

Msomi afu unawaza kurogwa
 
Lissu kazi zake na weledi wake kisheria vimeshaonekana sana tu mahakamani, bungeni na kwenye maandiko yake.
Huna pointi.
Point ninayo mkuu, Lissu huyo huyo siku ikatokea kukubali kutumika na ccm usitegemee kuendelea kusikia Lissu akisifiwa hivyo hivyo na bado akaoneka wa thamani.
 
Lipumba hana lolote zaid ya story za kusadikika kuhusu yeye na sijui ni nani aliyemfanyia hizo propaganda kuaminisha watanzania kuwa yeye ni mtu sana
 
Ukweli mtupu
 
Hapa ni 1982: Dr. Enguyuru Lipumba akihojiwa na Mwandishi wa Norwegian State Broadcasting Corp.

Your browser is not able to display this video.
 
Tuliambiwa ni mshauri wa uchumi wa Rais wa Marekani na Rwanda tukawa tamaind balaa yan tunahisi maccm hayakutaka kumtumia ili tuwe matajiri kama Marekani! Mara tukaambiwa atatoa zawadi kwa atakayepata A ya uchumi Advance! Mambo yalikuwa mengi kwetu kutoka kwa the chawaz wa huyu mwaisa na walitupigq mandoinge mengi sana.
 
Kwanini ni sasa ndio tunaona Lipumba hana lolote na yote tuliyokuwa tunasikia sio kweli? Kama Lipumba asingetumika na ccm ina maana bado tungeendelea kusikia maneno ya uongo kuhusu yeye na tukaendelea kunyamaza?
 
Kwanini ni sasa ndio tunaona Lipumba hana lolote na yote tuliyokuwa tunasikia sio kweli? Kama Lipumba asingetumika na ccm ina maana bado tungeendelea kusikia maneno ya uongo kuhusu yeye na tukaendelea kunyamaza?

Sio sababu anatumika na CCM.

Kila uwongo unaishi kwa muda fulani tu(tena huu umekaa muda wa kutosha), alafu unabumburuka.

Yawezekana wakati umefika, kwa uwongo mwingi uliojengwa juu ya wanasiasa na siasa za bongo kubumburuka.
 
Best brain kafanya nini?? Anafanya nini sasa hivi kusaidia taifa kupanda kiuchumi??
Lipumba alikua mshauri wa uchumi kwa mzee mwinyi,amefanya taasisi nzito za kiuchumi marekani,kafundisha uchumi vyuoni marekani,mwaka wake udsm alikua best student,Kuna initiative ya uchumi ilimtumia 2010s,huwezi beza taaluma ya uchumi ya lipumba utakua mpumbavu tu,maana hata babu yako Nyerere alisema ni msomi mzuri Ila hajaoa hivyo hagai kuwa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…