EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Hii movie hata ikiwa mbaya kwenye Storyline na picha ya trailer naona sio clear sana.

Ila wamejitahidi Sana Kwa kweli. (Time and Budget)

Wameonesha wana nia ya kufanya mabadiliko.

Sio kila siku upuuzi wa mapenzi wa Huba sijui jua Kali na ujinga Mwingine mwingine.

Mdada tu akiwa na makalio makubwa basi nae huyo unamuoa anaigiza. Ujinga mtupu.
 
As long as movie imeigizwa kwa kiswahili lazima itakula kwao sababu mauzo yatakuwa madogo sana. Ingekuwa kwa akingereza atleast inge walipa
 
As long as movie imeigizwa kwa kiswahili lazima itakula kwao sababu mauzo yatakuwa madogo sana. Ingekuwa kwa akingereza atleast inge walipa
Wame target soko la ndan na kingine ina subtitle ya English ukisema lugha basi wachina na wakorea wasingeuza movie zao
 
SOKO LA SCI FI NI KUBWA kuliko hayo ma series yenu mwenye wazo sio fala kingine ni kumek history haujawahi tokea sci fi Tanzania Ila hayo ma series aah mcheck Lamata
 
Tanzania bado tunashida na utungaji wa story nzuri, ambazo zinaweza kuvutia watazamaji....
Unaweza kutengeneza movie yenye budget ndogo lakin ikawa na story nzuri sana, mpka watu wakapenda..

Tuangalie movie kama power and kin, pale kuna technolojia gani ngumu kushindwa kutengeneza movie yenye story kama zile...

Kukimbilia science fiction kabla hatujakuwa bora kwenye story write, hata hzo zitakuwa mbovu tu...
 
Mwanzo Mgumu Ila Mwisho Mwampamba aye
 
Kuna BONGO MUVI na FILAMU ni vitu viwili tofauti hapa.. Hii ni filamu , ni tofauti na bongo movie, nyie wenyew mnawajua production yao.. Hao bongo muvi. Safi sana azam na studio izo
 
Naunga mkono
 
Wakuu habari za jumatano, natumaini mko vizuri na mnaendelea na majukumu ya kila siku, filamu ya EONII itakua filamu bora kuwahi kutengenezwa Tanzania na wasanii wetu.

Kwangu mimi hii ndo filamu nadhani yenye uzamini mkubwa kutoka Azam na ndio maana kimetengenezwa kitu bora zaidi chenye kuzungumzia teknologia ijayo 2061.

Nawapa big up sana wasanii walioshiriki kwenye utayarishaji wa hii filamu na timu nzima ya azam media kwa kuithamini tasnia ya filamu nchini.
 
Umeiona tayari? Au grapghics zimekuchanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…