EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Usi
Usipotoshe watu, hakuna muvi hapo
 
Ukweli ni kuwa kupitia trailer tu hiyo filamu ni mbovu.
2061 hakutakuwa na IST old model

Afu wamekopi kile kipikipiki cha Batman.
What if hao wanaoendesha iyo IST ni watu back from time!!!! umeambiwa kuna uwepo wa teknolojia ambayo imeleta chaos,what if kuna inshu ya time travel!!!critics zinaruhusiwa ila ya kwako imekosa mantik.

Alafu unazungumzia pikipiki au gari,hilo gari uliliona kwenye trailer una uhakika ni ile bat rocket au bat glider mkuu.maaana havifanan hata kidogo.Kuna muv nyingi tu ambazo wanatumia muundo wa magar na pikipiki za aina hiyo,je utasema hao nao wamekopi!!!!

Em subr tareh 23 kwanza alaf ndo utoe critics.
 
Trailer tu hutoa uhalisia wa kitu
 
Trailer tu hutoa uhalisia wa kitu
Ni kwel trailer lina gizagiza ofcoz maybe director ameamua kuonesha neo noir type of movie kama ile blade runner ya ryan gosling.Sema tuwape muda haya mambo yanahitaji udhubutu mkuu.
 
Kaangalieni trailer ya Expendables 4 ilivyo afu muone kama hakuna atayeisubiri hiyo Sept.
 
Pia kuna Haice 5L inaonekana
Hivyo tuseme wameboronga, wameandika 2061 bila kufatilia dunia itakuwaje miaka hiyo kwa upande wa Afrika. Yaani sana sana ni magorofa tu
 
Kama wangetumia vizuri mtaji wa hizo stori wakatia bajeti ya kutosha wangetoa kitu kikali kama wakanda
 
Hapo nawapa kongole kabisa hii nita itazama nilikua nimeacha kuangalia maigizo ya kibongo muda mrefu Sana, wakenya nao wametoa chuma kinaitwa Mpakani ni kali Sana na yenyewe itafuteni mfurahie
 
Mmh!! Ivi ndugu unachekigi movie za sci-fi vizuri yani unajua maana harisi ya sci-fi inavyo takiwa

Naomba unijibu kidogo na kingine naomba kusema tusubiri movie itoke ndo tuje kubishana humu ndani ukisema tubishana kupitia traile itakua ngumu kidogo ila


Naomba unipe mfumo wa movie za sci-fi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…