Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Amen, ameondoka mtumishi wa Mungu.RIP Mwansasu.
Namkumbuka kwa kukariri biblia,Mathayo yote ilikuwa kichwani mwake.
AmenSawa sote tunakuja tangulia mtumishi wa Mungu😢😢😢😅 nakesha na nyimbo zako leo
Kweli, tutamkumbuka sana.Daaah,so sad
Tutakumisi daima,niliupenda sana wimbo wake wa kinyakyusa "kyanala,nengwimba kyanala,ne mwana ghwa bhalondo numwaghile jhesu...."
ilikuaje hadi akatoka EAGT?Namkumbuka vizuri apumzike kwa amani amefanya kazi yake vizuri
Ooooooh no, Mwansasu! It is too early. We still needed your gospel songs. What was wrong? But, anyway, we cannot go out of the God's plan. Have a good rest, hoping to see you again in the future.Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwasasu alikuwa akiumwa kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi alizoziimba kwa mvuto wa aina yake na kutoa ujumbe mzuri kwa kila aliyesikiliza na kuona video za nyimbo hizo zilizopendwa na kupata umaarufu Tanzania na nje ya Tanzania.
Baadhi ya nyimbo za Mwasasu ni:
- Siku nikilala mauti.
- Nangojea wakati.
- Kutesa kwa zamu.
- Dunia inapita.
- Tukimaliza kazi.
- Kiama.
- Heri wenye moyo safi.
- Tutatesa milele.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe, Pumzika kwa amani nguli wa nyimbo za injili Askofu Ephraim R. Mwansasu.
Chanzo: Chomoza TV
View attachment 1914996
View attachment 1915016
Amen, till the meet again.Ooooooh no, Mwansasu! It is too early. We still needed your gospel songs. What was wrong? But, anyway, we cannot go out of the God's plan. Have a good rest, hoping to see you again in the future.
Amen, hakika tunapenda tuipate ile taji. Mwenyezi Mungu utujalie mwisho ulio mwema.Apumzike kwa amani, Mungu atujalie mwisho mwema sisi tuliobaki
AmenPumzika kwa Amani
AmenApumzike Kwa Amani