Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

Hiyo ndio kulipia bidhaa kwa gharama halisi sio unauziwa mbuzi kwa bei ya ng'ombe huo upumbavu
 
Ndio unavyofanywa huko nyuma wahuni wanakumwagia mashudu ndio maana umeanza kuumuka umuka ndio maana nikajiuliza hii mada mboni ina utata kumbe mleta mada ni Chakula cha Manyapara..
Umeshaingia cha kike umenunua ndaza na lazima ubambikwe watoto. Mkeo ataitwa kwa simu moja tu.
 
Je wewe ulikutwa na BIKRA kabla hujaoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…