Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
- Thread starter
-
- #141
Bikra Inathamani sana tatizo unakuta umeshapita na masingo Maza wengi mpaka umekua suguBikira haina thamani yoyote maana uke ni uke tu! Kwa hiyo wasiokuwa na Bikira wasilaumiwe
😹😹😹 Nowdays bikra ya mwanaume ya kijambio muhimu kuliko ya mwanamke..!!Ila we bwana😀😀
Hata breki tu mywangu huna😁
Imeisha hiyoUmeishia darasa la ngapi? Maana sasa hv kama mtu hana angalau degree sitamjibu Kabsa
Imeongelewa Bikra mkuu, thamani ya maisha imekujaje hapaWewe ni bora, au unazan lak 3 yako inathaman na maisha ya mtu
Historia ya mamaako inahusiana nini na wewe kuchagua kuoa bikra? Hapo si swala la mama,shangazi au dada zako wanahistoria gani nyuma yao sababu haitoathiri chochote kwenye maamuzi yako ya kuoa bikra. Ni swala la maamuzi au uchaguzi wako juu ya mwanamke unaetaka kumuoa siyo habari za historia hapa. Usitupangie!-ukipata mwanamke oa, siyo kila binti ambaye si bikra aliipoteza kwa kupenda.
1. Mwanaume mwenzangu usiite mabinti za watu malaya KABLA YA KUJUA HISTORIA YA MAMAKO ILIKUAJE ENZI ZA UBINTI WAKE.
2. Hakuna mahusiano ya ndoa na ubikra (unaweza oa bikra, ndoa ikamshinda ukabaki, na unaweza oa mwanamke ambaye hana bikra na ndoa yenu ikadumu hadi raha)
3. ndoa ni muunganiko kati ya mke na mme wanaojua maana ya ndoa na wana akili timamu. na si muunganiko wa bikra.
4. KABLA YA KUITAFTA BIKRA YA MABINTI WENGNE, MAMAKO ALIOLEWA AKIWA BIKRA?
najua vijana wengi hamna akili timamu, tujitahd angalau kuwa heshima kidogo kwa akina mama hawa.
utoto rahaNdugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..
Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..
Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..
Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.
Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
Kutoka wapi?Unataka mahari
Ni halisi ambayo jamii imezubaishwa kwa makusudi ili isichukue hatuaHoja yako naona kama vile ina kaukweli fulani
Kwa Mumeo mtarajiwaKutoka wapi?
Kumbe mahari ni ndoa. Kwahiyo ukimtolea mahari halafu haujaishi nae utajihesabia umemuoa?Kwa tunaojua mahari ndio ndoa , ukitoa mahari maana yake umeridhia.
Naungana na mtoa mada bora uishi naye tu kutimiza na wewe haja zako kama walivyofanya wengine kabla yako, kuliko kutoa mahari wakati unajua kabisa sio bikra. Ili mkishindwana arudi kwao.
😀😀😀😀😀😹😹😹 Nowdays bikra ya mwanaume ya kijambio muhimu kuliko ya mwanamke..!!
Maisha yamebadilika mpaka raha.!!
Tunzeni bikra zenu huko mbele tutaangalia km mmejitunza?
Wanaume wote wana bikraWewe pia una bikra au unataka awe nayo mwenzio tu?
Unauhakika?Wanaume wote wana bikra
Nina uhakika, wewe unaweza kutuonesha Mwanaume asiye na Bikra kwa uthibitisho?Unauhakika?
Ukisikia uxenger ndo huu sasa.😹😹😹 Nowdays bikra ya mwanaume ya kijambio muhimu kuliko ya mwanamke..!!
Maisha yamebadilika mpaka raha.!!
Tunzeni bikra zenu huko mbele tutaangalia km mmejitunza?
Mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa identical standards kwa sababu expectations and roles kijinsia ni tofauti. Standards za mwanaume ni stability and finance. Stamdards za mwanamke ni purity/virgin and loyaltyWakati huo unahitaji ambaye ni bikra basi na wewe uwe haujautumia mkuyenge wako, otherwise huo ni ubinafsi.