Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Kuna watu watapinga ila umemwaga madini ya maana.Wanawake(sio wote)ni watu wa fursa,wanapenda kuvuna wasipopanda.
 
kataa ndoa watafurahi umewasaidia
 
Ahahahah kwa heshma ilioko baina yetu naomba kwa leo tuliache lipite mkuu wangu😂😂
 
Musk ana vimada zaidi ya 12, Bill Gate anao zaidi ndo maana ndoa ikavunjika, matajiri wengi wakubwa wana vimada zaidi ya kumi. Umasikini ndo unakufanya uwaze hivyo, pesa ya kuuza mchicha. Wewe pesa ulizonazo kwa mwingine ni pesa ya kikombe Cha chai tu. Hivyo umasikini wako usikufanye agenda kwa wengine.
 

Attachments

  • Screenshot_20240914-191841.png
    381.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240914-191650.png
    141.5 KB · Views: 6
Anataka wanaume wote waww wake kitu kisichowezekana, inasemwaga lakini wanawake hatupendani
Oya sikiliza wewe manzi iko hivi kama hujaelewa
Nikimuelewa Kapeace nabonga na wewe tunagrade hako kak*ma then tukifunga bei nakukula nakupa kiasi chako baada ya hapo hatujuani so zile mambo za sijisikii poa mara nimepungukiwa kiasi fulan kwenye mambo yangu unakuwa huna nafasi ya kuniambia maana tulimalizana,, yaan natafuta mwezi mzima nakutengea bajeti kama ni 50k au 100k kulingana na tunavyobargain.
Sio zile habari za babe halafu virungu.
Au unaniita mume wangu huku unanibebesha majukumu mpaka ya michango ya kitchen party ya mtoto wa mjomba wako tena kama ni mkoani unataka na nauli kabisa ukahudhurie.
Ila kwakuwa mnajua kuwa mmekuwa mkitufaidi sana to the maximum hamtaki hizi mada maana zitaleta ukombozi kwa hao mliowafinyia kwa ndani wakawehuka..
Niwaombe tu nyie wanawake hebu jaribuni kuwalegezea hawa watu msiwageuze misukule kiasi hicho.
 
Mbona maelezo marefu sana una tatizo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…