Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu swala LA uislam kwa Germany ni dogo kuliko kukosa population hapo badaye.Ndiyo hatuwataki kabisa EU.Waislam halafu wanazaana kama popo.Halafu wote watahamia Ujerumani na in 50 yrs Ulaya itakuwa waislamu tupu.
Baba wa taifa wa Uturuki, Kemal Ataturk, ali-europenize nchi yake ndio maana hata ikafikiwa baadae kuwa NATO. Ni ngumu kuwa na taifa la kisasa bila kuwa na mashirikiano na West.Hawa jamaa kuna siku nimewahi kutazama kidogo hizi tamthilia zao, ziko kimagharibi kabisa
Yaani wana tofauti kubwa sana na nchi nyingine za kiislamBaba wa taifa wa Uturuki, Kemal Ataturk, ali-europenize nchi yake ndio maana hata ikafikiwa baadae kuwa NATO. Ni ngumu kuwa na taifa la kisasa bila kuwa na mashirikiano na West.
Hawawezi kurudi tena front line hao, wameshaathirika kisaikolojia.Daah jamaa wamenenepa sana ukiwaangalia wakati wanatoka kwenye kile kiwanda ni huruma unaweza dhani ni mazimwi, All in all warudi Frontline kupambania ardhi Yao
We mrundi na wewe member wa EU?😅 ..Ndiyo hatuwataki kabisa EU.Waislam halafu wanazaana kama popo.Halafu wote watahamia Ujerumani na in 50 yrs Ulaya itakuwa waislamu tupu.
Mbona mpo nao NATO?Ndiyo hatuwataki kabisa EU.Waislam halafu wanazaana kama popo.Halafu wote watahamia Ujerumani na in 50 yrs Ulaya itakuwa waislamu tupu.
Nato ni kijeshi tu.Ila EU kumbuka kuna free mouvement of people and goods kati ya wananchi wa nchi member wa EU.Yaani Uturuki wakiruhusiwa EU maana yake waturuki wanaweza kwenda kuishi Ujerumani, France,Italia,Grèce nk.Mbona mpo nao NATO?
Au ni njia ya kuwadhibiti tu wasiingie kwenye ushawishi wa Russia na mahasimu wa West?
Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?Yaani Uturuki wakiruhusiwa EU maana yake waturuki wanaweza kwenda kuishi Ujerumani, France,Italia,Grèce nk.
Unafikiri wanazuia wahamiaji kuja EU bure?EU inawalipa mabilioni Uturuki kwa hiyo kazi ya kuhold wahamiaji. Uturuki wameendelea kuliko nchi za Eastern Europe huko kama Romania. Ila Uturuki hakuna nchi ya western Europe wanaifikia. Waturuki wapo wamejaa Ujerumani. Na Erdogan kwenye moja ya hotuba zake aliwaambia waturuki na waislamu walio Europe wasitumie uzazi wa mpango, wazae kwa kwenda mbele.Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?
Tena inawasaidia kuzuia immigrants wasifike kwenu ila wao hamuwataki kabisa.
Aliwakazia hadi European Union ,aliwaambia ni lazima kumlipa pesa ndefu ili kuwazuia wahamiaji haramu toka nchi za Middle east na Asia wanaopitia kwenye mipaka ya Uturuki kuingia kinyemela Europe la sivyo atafungua mipaka ya Uturuki na kuachilia mafuriko ya wahamiaji holela Europe ,😀😀😀😀😀 ,wakasema isiwe shida na EU wanamlipa pesa ndefu hadi leo ,lijamaa libishi kweli hiloAnaangalia maslahi..Alimkazia MBS Tukio la kashogi hadi MBS akatoa mpunga na Erdogan akafunga mdomo....yeye kwakeni mpunga tu hataki ushoga....ni mswahili kweli kweli
Kumbuka bado ni wanajeshi nafahamu unajua kazi ya mwanajeshi.Hawawezi kurudi tena front line hao, wameshaathirika kisaikolojia.
Kumbe EU wanahofia tu utamaduni wao kumezwa.........ila ngumu kuwaepuka wahamiaji ndio maana hata PM Sunak japo muhindi ila analinda mali na maslahi ya UKUnafikiri wanazuia wahamiaji kuja EU bure?EU inawalipa mabilioni Uturuki kwa hiyo kazi ya kuhold wahamiaji. Uturuki wameendelea kuliko nchi za Eastern Europe huko kama Romania. Ila Uturuki hakuna nchi ya western Europe wanaifikia. Waturuki wapo wamejaa Ujerumani. Na Erdogan kwenye moja ya hotuba zake aliwaambia waturuki na waislamu walio Europe wasitumie uzazi wa mpango, wazae kwa kwenda mbele.
Si utamaduni tu,pia Erdogan hafuati haki za binadamu. Kafunga waandishi na watu wanaompinga kisiasa. Kuna demokrasia Uturuki ila hakuna haki.Kumbe EU wanahofia tu utamaduni wao kumezwa.........ila ngumu kuwaepuka wahamiaji ndio maana hata PM Sunak japo muhindi ila analinda mali na maslahi ya UK
Anawasaidia au ni biashara wamefanya na wanafanya na EU Hadi sasa , ?Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?
Tena inawasaidia kuzuia immigrants wasifike kwenu ila wao hamuwataki kabisa.
Geografia ndyo umewapa uanachhama wa NATO uturuki bila ivyoo ingesikia kwenye bombaHata hueleweki unachosema, contradiction tupu
Labda kama wamefichwa, hawakuambiwa ukweli wa kilichotokea.Kumbuka bado ni wanajeshi nafahamu unajua kazi ya mwanajeshi.
Haujajibu badoNATO kuna USA..
EU hayupo USA
Waislamu hawa wakina Mohamed said na faizafoxy kwenye suala la bandari? Hakuna watu wabaguzi kuwazidi waislamuTutaambiwa katoka taifa teule [emoji3][emoji3]..
Hata hivo waislam hawana hizo tabia za kuleta udini kwenye mambo ya kitaifa tofauti na wenzetu,,