Erdogan asema Uturuki sasa kuingia Israel kuwasaidia Wapalestina

Ana watafutia wenzake namna Bora mnoo ya kubondwa haswaa
Israel ishukuru imepakana na waarabu.
Maana waarabu wana kiwango fulani na ustahimilivu na uoga.
Ila angepakana na Iran,Pakistan,Afghanistan,Azerbaijan ama hiyo Turkiye yenyewe.
Leo hii tungekua tunasoma tu katika makala kuwa kulikua na taifa linaitwa Israel.
 
Haya mwanadipolamasia kutoka Kongwa,,Dodoma
 
Edogan mnafik kama wanafik wengine wa Mashariki ya kati, wakiwemo Egypt, Saudi Arabia, Jordan, UAE, Qatar, Kuwait, Bahrain na Oman.

Wote wanafik hao, usiwaamini kwa chochote wakachkisema dhidi ya mazayuni.

Mbona Wayemeni, Syria, Iraq na Lebanon hawasemi, wanafanya kweli.
 
Raisi wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel.
Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari akizungumza na wanachama wa chama chake cha AK chenye kufuata mrengo wa dini ya kiislamu.
Akifafanua kusudio hilo,Erdogan amesema hilo ni jambo jepesi kwa nchi yake yenye teknolojia kubwa za kivita kama ambavyo wamewahi kufanya huko Nagoro Karabakh na Libya ambapo matokeo yalionekana.
Serikali ya umoja wa kitaifa inayoongoza sasa nchini Libya na kutambuliwa na umoja wa mataifa imedumu madarakani baada ya Uturuki kuingilia kati na kuiunga mkono kwa kuilinda dhidi ya wapinzani wake.
Hatua hiyo ya Uturuki japo itakuja katika muda wa kuchelewa lakini ni yenye kuhitajika sana kutokana na dhulma kwa wapalestina na tishio dhidi ya msikiti wa Alaqsa.Kwa upande mwengine Uturuki ina uwezo huo japo mara nyengine huwa inakuwa na kigeugeu kisichokuwa na sababu kwenye maamuzi yake.

Erdogan says Turkey might enter Israel to help Palestinians

Kupata vichekesho kama hivi tuna bonyeza ngapi Webabu ?
 
Hana huo ubavu huyo mnafiki anajifanya mtetezi wa wapalestina ili hali aliwaua wakurdi
 
Erdogan anatania, anajaribu kulinganisha Israel yenye nyuklia na yenye back up ya USA na Libya? Endapo nchi za kiarabu zitaingia vitani dhidi ya Israel, eneo la Goza litaondoka na msikiti wa Al-Aksa itatolewa kwa sababu ya vita hivyo, Israel atarusha kombola halafu atasema ni adui ambaye amepiga kombola eneo hilo. Wakianzisha vita kitakachofuata ni Ordogan kuondoka madarakani kwa sababu Turkey itapata hasira kubwa na itashindwa vita hiyo. Ndege zake nyingi zimetengenezwa na hao hao waisraeli wanaoishi USA.
 
Kesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..

And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.

Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..

And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
Iran has 580,000 Active Soldiers
Turkey has 425,000 Active Soldiers

That is a combined force of over 1 Million Trained Soldiers ready to cross through Syria into Israel if Israel decides to strike Lebanon.

Enough is Enough…
 
Mikwara tu hii. Hamna kitu Erdogan au Mullah wa Tehran watafanya. Walau Taliban na Houthi huwa wanafanya wanachosema japo siyo tishio.

Erdogan na Ayattolah wanapenda kuishi. Kupigana na Israel inabidi upende kifo.
 
Kesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..

And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.

Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..

And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
Italia,France na sehemu kubwa ya Europe yenyewe ni mali za waislamu.
 
Hawezi kuingia na Kuisaidia Palestina maana NATO haitamruhusu.
NATO ndio inamfunga Uturuki.
Ila Uturuki ni taifa lenye nguvu sana.
NATO inamfunga vipi wakati Israel si mwanachama wa NATO.
Pamoja na hivyo Erdogan amefanya mambo mengi sana ya kuwapiga chenga wenzake na hakuna walichomfanya.
Amempiga chenga mpaka mrusi aliyeonekana ni mshirika wake mkubwa.
 
Kesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..

And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.

Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..

And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
Kwahyo wewe maoni yako ni Wapalestina wauawe syo?
 
Mh!.miezi kumi yote hiyo alikuwa wapi🤔.
Anatafuta kiki,kaenda kusemea kijijini alipozaliwa.

Akaliongelee ofisini kwake Istambul.

Hawezi kuwa tishio kumzidi hayat Rais wa Iran.Kilichomkuta anakijua yeye na Taifa lake.

Hamjifunzi TU kwa Iran.
 
Iran kulifanywa nini?😀
Yaani watu wa jumapili muna matatizo sanaa
 
Back
Top Bottom