Israel ishukuru imepakana na waarabu.Ana watafutia wenzake namna Bora mnoo ya kubondwa haswaa
Hata huku kwetu kuna mwamba alianguka tu akafaAmasahau yule waziri wake aliyedondoka na kufa gafla akiiaema vibaya izrael?
Haya mwanadipolamasia kutoka Kongwa,,DodomaIsrael ishukuru imepakana na waarabu.
Maana waarabu wana kiwango fulani na ustahimilivu na uoga.
Ila angepakana na Iran,Pakistan,Afghanistan,Azerbaijan ama hiyo Turkiye yenyewe.
Leo hii tungekua tunasoma tu katika makala kuwa kulikua na taifa linaitwa Israel.
Kupata vichekesho kama hivi tuna bonyeza ngapi Webabu ?Raisi wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel.
Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari akizungumza na wanachama wa chama chake cha AK chenye kufuata mrengo wa dini ya kiislamu.
Akifafanua kusudio hilo,Erdogan amesema hilo ni jambo jepesi kwa nchi yake yenye teknolojia kubwa za kivita kama ambavyo wamewahi kufanya huko Nagoro Karabakh na Libya ambapo matokeo yalionekana.
Serikali ya umoja wa kitaifa inayoongoza sasa nchini Libya na kutambuliwa na umoja wa mataifa imedumu madarakani baada ya Uturuki kuingilia kati na kuiunga mkono kwa kuilinda dhidi ya wapinzani wake.
Hatua hiyo ya Uturuki japo itakuja katika muda wa kuchelewa lakini ni yenye kuhitajika sana kutokana na dhulma kwa wapalestina na tishio dhidi ya msikiti wa Alaqsa.Kwa upande mwengine Uturuki ina uwezo huo japo mara nyengine huwa inakuwa na kigeugeu kisichokuwa na sababu kwenye maamuzi yake.
Erdogan says Turkey might enter Israel to help Palestinians
Hana huo ubavu huyo mnafiki anajifanya mtetezi wa wapalestina ili hali aliwaua wakurdiRaisi wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel.
Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari akizungumza na wanachama wa chama chake cha AK chenye kufuata mrengo wa dini ya kiislamu.
Akifafanua kusudio hilo,Erdogan amesema hilo ni jambo jepesi kwa nchi yake yenye teknolojia kubwa za kivita kama ambavyo wamewahi kufanya huko Nagoro Karabakh na Libya ambapo matokeo yalionekana.
Serikali ya umoja wa kitaifa inayoongoza sasa nchini Libya na kutambuliwa na umoja wa mataifa imedumu madarakani baada ya Uturuki kuingilia kati na kuiunga mkono kwa kuilinda dhidi ya wapinzani wake.
Hatua hiyo ya Uturuki japo itakuja katika muda wa kuchelewa lakini ni yenye kuhitajika sana kutokana na dhulma kwa wapalestina na tishio dhidi ya msikiti wa Alaqsa.Kwa upande mwengine Uturuki ina uwezo huo japo mara nyengine huwa inakuwa na kigeugeu kisichokuwa na sababu kwenye maamuzi yake.
Erdogan says Turkey might enter Israel to help Palestinians
Iran has 580,000 Active SoldiersKesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..
And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.
Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..
And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
Ni mali ya Greece to be precisely.😁Uturuki ni mali ya Italy
Mikwara tu hii. Hamna kitu Erdogan au Mullah wa Tehran watafanya. Walau Taliban na Houthi huwa wanafanya wanachosema japo siyo tishio.Iran has 580,000 Active Soldiers
Turkey has 425,000 Active Soldiers
That is a combined force of over 1 Million Trained Soldiers ready to cross through Syria into Israel if Israel decides to strike Lebanon.
Enough is Enough…
Italia,France na sehemu kubwa ya Europe yenyewe ni mali za waislamu.Kesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..
And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.
Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..
And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
NATO inamfunga vipi wakati Israel si mwanachama wa NATO.Hawezi kuingia na Kuisaidia Palestina maana NATO haitamruhusu.
NATO ndio inamfunga Uturuki.
Ila Uturuki ni taifa lenye nguvu sana.
Kwahyo wewe maoni yako ni Wapalestina wauawe syo?Kesha jibiwa na kupuuzwa.. kuwa aulizie mtu aliitwa Sadam Hussein aliitishia Israel and aulize ilikuwaje and aliishia wapi huyo Sadam..
And Uholanzi wamesema Uturuki wafukuzwe NOTO ni fanatic Muslim.. Wannable Dictator.
Hill Zee limeanza kuwa na Akili za kizee likae Pembeni kama Biden..
And Ajue hapo alipo ni mali ya Italia.. mji wa Kwanza wa Wakristo.. anapaita Instabul
Iran kulifanywa nini?😀Mh!.miezi kumi yote hiyo alikuwa wapi🤔.
Anatafuta kiki,kaenda kusemea kijijini alipozaliwa.
Akaliongelee ofisini kwake Istambul.
Hawezi kuwa tishio kumzidi hayat Rais wa Iran.Kilichomkuta anakijua yeye na Taifa lake.
Hamjifunzi TU kwa Iran.