Erdogan asema Uturuki sasa kuingia Israel kuwasaidia Wapalestina

Unaisema vibaya Saudi Arabia astaghafullullah
 
Italia,France na sehemu kubwa ya Europe yenyewe ni mali za waislamu.
Waislam hadi hawa wa kwa Mtogole? Hebu achaneni na udini, binadamu tunahitajiana.
 
Mbona Wayemeni, Syria, Iraq na Lebanon hawasemi, wanafanya kweli.
Kwasababu ni washia wanafuata mafundisho adhim ya kipenzi chetu cha dhati Imaam.

Nikikumbuka kipenzi chetu cha dhati alivyo uwawa kikatili Karbala kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu ninalia Sana.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumpa kheri za dunia na Akhera. Na pia aendelee kumfanyia wepes na kummiminia Qauli Thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.


adriz Jagina Malaria 2 Adiosamigo
 
Vipi kulikoni mkuu. Mbona Ayatollah hafanyi maamuzi si ulisema Iran anaweza ingia frontline. Mbona hata makombora hatumi
 
Too little,too late.
 
mkuu unajua sana mpk gaidi mkuu wa kike humu amestaajabu!
 
Vipi kulikoni mkuu. Mbona Ayatollah hafanyi maamuzi si ulisema Iran anaweza ingia frontline. Mbona hata makombora hatumi
Mkuu hili si tulishalizungumzia!?
Naona unaleta mjadala ambao tumeshaujadili mkuu ilhali majibu tulishapeana.
Kiusahihi ulitakiwa niuliza vipi mbona Iran hajafanya direct strike kuelekea Israel!?
Hapo ningekujibu.
 
Mkuu hili si tulishalizungumzia!?
Naona unaleta mjadala ambao tumeshaujadili mkuu ilhali majibu tulishapeana.
Kiusahihi ulitakiwa niuliza vipi mbona Iran hajafanya direct strike kuelekea Israel!?
Hapo ningekujibu.
Waziri wa Mambo ya Nje kajiuzuru. Anaona ni ujinga Iran kujifanya Wapalestina kuliko Wapalestina wenyewe. Kuna ubishi humo serikalini, wanaojua uhalisia wanajua Iran hana la kufanya lolote dhidi ya Israel. Akijaribu anapewa onyo kali
 
Waziri wa Mambo ya Nje kajiuzuru. Anaona ni ujinga Iran kujifanya Wapalestina kuliko Wapalestina wenyewe. Kuna ubishi humo serikalini, wanaojua uhalisia wanajua Iran hana la kufanya lolote dhidi ya Israel. Akijaribu anapewa onyo kali
Hili tulishalijadili mkuu unless unataka tuendelee kubishana.
Iran ina CRIPPLED ECONOMY hata rais wa sasa aliyeingia alisema Iran uchumi wake hauruhusu vita.
Ila haimaanishi kuwa Iran haiwezi kuifanya kitu Israel,bali inatizama outcomes zitakuwaje.
Kwani zile drone na makombora 300 yaliyorushwa kwenda Israel alirusha nani kama sio Iran!?
Wakati ule aliwezaje na wakati huu ashindwaje!?
Nani anayeifadhili Hizbollah kama sio Iran hao hao!?
Iran inachofanya iji hold back ni vitu viwili tu,kwanza uchumi wake hauruhusu vita kubwa,pili Iran ana maadui wengi sana sio tu huyo Israel hata USA na UK leo kesho wanamsubiri Iran akijichanganya wamchangie kama wanavyomchangia Putin kule Ukraine.
 
Ndio umejua Leo. Mama wa msikiti wa Al Aqsaa
 
IRANI WALIAMUAJE MAANA GHAFLA NAO WAMEKUWA KIMYA. NA WALISHAPANDISHA BENDERA NYEKUNDU.
 
Ujinga ujinga move za akina Arnold schwarzeneger zimeharibu ubongo wako. Nikuuulize kitu? Ivi unajua ukitoka kwenye move katika hali halisi ya vita ukipigwa risasi unakufa. Tofauti na kwenye move kama ukiwa Stelling hata ukipigwa risasi haufi unalijua ilo.
Kama unalijua punguza movies
 
Kiislaam hatuna utumwa wa "shikamoo" tunasema Asalaam Alaikum.

Haina mkubwa kwa mdogo wala mdogo kwa mkubwa, heshima kwa wote.

Kumbuka hilo.
Kwa Mara ya Pili nasema """Shikamoo""""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…