Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.

uturuki.png
 
Wataishia kuvimba tu kwenye vyombo vya habari lakini kukaa msitari wa mbele kupambana na Israel hilo sahau kuona wakiungana.

Kuna waarabu wenzao wengi tu wasiopenda uharamia wa Hamas na Houth kama Saudi Arabia na wengineo ambao wako chini ya USA na washirika wake.

Israel mbele kwa mbele.
 
Kwa nini nchi za Kiislamu?

Afrika ya Kusini imeanzisha mpaka kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama za kimataifa, na si nchi ya Kiislamu. Haoni kuwa kaitenga?
Mkuu,

Na leo U.S. Anasema oparesheni ya israeli rafah bado haijavuka red line.

Nafikiri kasema waislamu akifikiri itakuwa ni rahisi zaidi kupata kuungwa mkono, japo angeongea tu kwa ujumla.
 
Mkuu,

Na leo U.S. Anasema oparesheni ya israeli rafah bado haijavuka red line.

Nafikiri kasema waislamu akifikiri itakuwa ni rahisi zaidi kupata kuungwa mkono, japo angeongea tu kwa ujumla.
Huu ni ubaguzi wa kidini. Watu wanaopinga udhalimu wa Israel si Waislamu tu. Sasa yeye kwa kusema hivyo anaonesha kama hii ni vita ya kidini kati ya Waislamu na Wayahudi.
 
Huenda Erdogan anaamini kuwa hoja ya udini ina nguvu na ushawishi zaidi kuliko hoja ya ubinadamu!
Huo ni ubaguzi wa kidini, anaifanya hii vita kuwa ya kidini wakati ni kubwa zaidi ya dini.

Wapalestina wanahitaji msaada wa kika mtu, si msaada wa Waislamu tu.

Kuleta habari za Waislamu hapo ni kuugawa umati mkubwa unaowaunga mkono Wapalestina, ambao una watu wasio Waislamu wengi sana.
 
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.

View attachment 3002819

Kama sio muislam kuitetea Palestine ni kushoboka? TZ is a secular state inasimama na Palestine toka enzi za Nyerere nayo inajipendekeza? Spain, Ireland na Norway nchi za kikristo zinazoitambua Palestine as an independent state nazo zinashoboka? Mtu mbaguzi hajioni akifanya ubaguzi.
 
Wataishia kuvimba tu kwenye vyombo vya habari lakini kukaa msitari wa mbele kupambana na Israel hilo sahau kuona wakiungana.

Kuna waarabu wenzao wengi tu wasiopenda uharamia wa Hamas na Houth kama Saudi Arabia na wengineo ambao wako chini ya USA na washirika wake.

Israel mbele kwa mbele.

Umeusahau uharamia wa hao wamarekani ??
 
Umeusahau uharamia wa hao wamarekani ??
Isivyo bahati hakuna wa kumvamia wala kutafuta ugomvi na Marekani hapa duniani.

Ila kuna sehemu nyingi Marekani anatafuta ugomvi na mataifa mengine na kuyafuata huko kwao kupambana.

Waarabu wataendelea kulialia kwa miaka mingine kadhaa hadi pale USA atakapoona wameishiwa mafuta.
 
Back
Top Bottom