USA is a blunt knife.Huyo ambaye mifumo ya fedha ya kibenki yote imekufa na wahuni wameondoka na kila kitu raia wako wanalia hawana A wala B, ndo awe kikwazo kwa USA?.
Cuba ni nchi yenye maisha yanayofanana kwa kiwango kikubwa kwa sasa na nchi za ulimwengu wa 3, sasa nchi ya ulimwengu wa 3 inawezaje kuishinda USA?.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Kuna mataifa kibao USA anayaogopa na hawezi kuyagusa ng'ooo,na akisikia yamejihusisha sehemu hasogezi jeshi lake.
RUSSIA,CHINA,NORTH KOREA,IRAN.
Hathubutu na hatothubutu kuyasogelea.