Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Hapana, umeanzia habari katikati.

Yani ni kama unasema wewe ni mtu mweusi kwa sababu baba na mama yako ni weusi.

Wakati kuna babu na bibi zako waliowazaa wazazi wako hujawataja.
Swali la awali lilikuwa ni hili.
Hujajibu swali nililokuuliza na swali ulilojibu sijaukiza.

Nimeuklza hivi.

Kama babu na bibi yako wasingekuwa weusi, baba na mama yako wangekuwa weusi?
Hili ni swali jipya, halifanani kabisa na la kwanza.
Nimekujibu kufuatana na muundo wa swali la msingi.
 
Mi nimekuuliza nikuwekee Aya ya QUR'AN inayoonesha mtume alikua na sijida?..halafu ukishaona utaacha kuichukia sijida au utazidisha?
Hapo ndo umejibu swali langu? Huko madrasa wawe wanawawekea na 'ilim dunya' kidogo
 
Swali la awali lilikuwa ni hili.

Hili ni swali jipya, halifanani kabisa na la kwanza.
Nimekujibu kufuatana na muundo wa swali la msingi.
Oct 7 did not happen in a vacuum.

If you think it did, your powers of logical thinking are suspect, your ability to draw a timeline of events in this matter is nonexistent and your privileges to directly engage me will be revoked.
 
Israeli hana uwezo wa kupambana na yoyote, bila msaada wa basha wake amerika tayari angekalishwa na Hamas.
Jihadists mbona hamueleweki.? Si ni nyie haohao mnaosema kwamba Marekani hana lolote, sasa tuelewe lipi..😛😛
 
Unaota wewe.
Saudi Arabia wanapenda sana wanachokifanya Hamas.
Ila hawawezi kuweka wazi kwasababu ya uhusiano waliouweka na USA.
Kama wangekua hawapendi basi wangeruhusu USA atumie kambi zao dhidi ya Houthi,ila Oman,Saudi arabia,Bahrain na Egypt walikataa katwa katwa.
Labda utakua haufuatilii hili suala.
Pia Iran ambaye yuko mbele kufadhili hayo makundi waarabu wameshamuona kuwa ndio mtetezi wao mkuu na wameshaanza kumkaribisha katika mataifa yao ikiwemo Qatar.
We kaa jidanganye hapo.

Uturuki sio taifa dogo ni kubwa ila NATO ndio linalipooza hilo taifa,hakuna vita Uturuki aliingilia akashindwa.
Huijui Uturuki wewe,ni hatari kuliko Iran.
Uturuki ni mzuri na pia Yuko vizuri kijeshi hata uwezo wake uko vizuri ila sijui huna ana shida gani yaani huwa ninamwona kama Hana msimamo kabisa
 
Uturuki ni mzuri na pia Yuko vizuri kijeshi hata uwezo wake uko vizuri ila sijui huna ana shida gani yaani huwa ninamwona kama Hana msimamo kabisa
Shida ni NATO.
Uturuki wapo katika umoja wa NATO,hicho ndicho kinawabana.
 
Uturuki ni mzuri na pia Yuko vizuri kijeshi hata uwezo wake uko vizuri ila sijui huna ana shida gani yaani huwa ninamwona kama Hana msimamo kabisa
Katika Biblia waturuki ni wagalathia( Ni taifa lililokuwa halina msimamo tokea kipindi icho ).
Kwa iyo wanatimiza maandiko ya kwenye Biblia
 
which Allah?
The invisible who is waiting for the living people to fight for him?
Hizi dini ni usenge mtupu....
Vipi kuhusu yule Jesus anayesemakana alikimbilia mbinguni baada ya kupigwa misumari na taifa alilo_liteua kuwa chaguo lake la kwanza... mnamsubiri lakini hataki kurudi..

Ili uamini hizi Dini, ni lazima ujizime data kwanza ( hakuna kuhoji, fuata maandiko tu).
 
Back
Top Bottom