Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Ila yanajitahidi kujiengua.
Kama Qatar ishajitengenezea domain yake tayari.
Ila subiri tuone maana wameanza kujisogeza Iran taratibu.
Sijui definition yako ya kujitenga ni ipi. Hivi tunavyoandika, USA ina kambi za jeshi huko Qatar
 
Netanyahu amekana kuhusika na ajali ya Ebrahim Raisi.
Wewe unashadadia nini!??
Ndio utajua hujui, ulishaambiwa watalipa kisasi sasa usiwe kama kubwa jinga kutojiongeza kwa vitu vidogo

Haihitaji degree kuelewa
 
Uislam ni dini ya hovyo sana,uzuri hawawezi ungana mana mara ya mwisho walipoungana walikula kipigo kitakatifu hadi wajapoteana,hakika israel ni kiboko ya magaidi ya kidini
Si apeleke majeshi yake pale Ukanda wa Gaza yakapambane na IDF?
🙂🙂🙂 ... Hawa inabidi wapigwe mpaka wawe wanalala ndani na makopo ya kukojelea..
 
Hapana, umeanzia habari katikati.

Yani ni kama unasema wewe ni mtu mweusi kwa sababu baba na mama yako ni weusi.

Wakati kuna babu na bibi zako waliowazaa wazazi wako hujawataja.
Babu na bibi yangu sio sababu ya mimi kuzaliwa mweusi.
Sababu ya mimi kuzaliwa mweusi ni baba na mama walikutana wote weusi.
Kama baba angekutana na mama muhindi ningezaliwa na ka mixer kakihindi.

Historia inayoleta chuki na utengamano sio vyema kuikumbatia.
Palestine na Israel hawatakaa sawa hadi watakapokubali kuishi kama jamii moja.
 
Ona ulivyo unachekesha😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️.
Hiyo Spain kuiunga mkono Palestina imepata ushahidi toka pande zote mbili,yani Palestina na Israel,na ushahidi ukapatikanika kuwa Israel ndio imeanza ukorofi August kwa kuvunja nyumba za Jenin.
Aya wewe una ushahidi upi wa kuwa ugomvi ulianza Oktoba 7 badala ya August?
Nazani wewe ndio wale mlioambiwa na edogan muungane mkapambane na Israel.
Hii kulaani tu na kubweka nyuma ya keyboard haisaidii.
Huko Rafa kipondo kinaendelea, myahudi kaziba masikio.
Kasaidieni kwa vitendo
 
The one who give u eyes and arms and mouth to talk whatever u want is Allah. So is ur choice to continue abuse or remain silent but remember everything is recorded and anything or any time Allah punishment is around to u, it's better to watch ur words
 
Hiyo sera ya jino kwa jino inathibitisha vipi kua waislam wanaua hadi watoto?
Ama lete ushahidi wa waislam wakiua watoto kwa hiyo sera ya jino kwa jino.
Kuna makala humu ya jana tu inazungumzia Cabo Delgado, hapa hapa jirani Msumbiji kwa siku moja walichinjwa watu 1200 wakiwemo na watoto na waislamu wanajiita Answar nini sijui.
Hata waziri wetu wa ulinzi kaliongelea hili bungeni.
Una jingine?
 
Babu na bibi yangu sio sababu ya mimi kuzaliwa mweusi.
Sababu ya mimi kuzaliwa mweusi ni baba na mama walikutana wote weusi.
Kama baba angekutana na mama muhindi ningezaliwa na ka mixer kakihindi.

Historia inayoleta chuki na utengamano sio vyema kuikumbatia.
Palestine na Israel hawatakaa sawa hadi watakapokubali kuishi kama jamii moja.
Kama babu na bibi yako wasingekuwa weusi, baba na mama yako wangekuwa weusi?
 
Babu na bibi walikuwa kwa ajili ya kuwazaa wazazi.
Mimi sijazaliwa na babu na bibi ila nimezaliwa na baba na mama.
Kama baba na mama wangeamua vinginevyo mimi nisingekuwa hivi nilivyo.

Hujajibu swali nililokuuliza na swali ulilojibu sijaukiza.

Nimeuklza hivi.

Kama babu na bibi yako wasingekuwa weusi, baba na mama yako wangekuwa weusi?
 
Sijui definition yako ya kujitenga ni ipi. Hivi tunavyoandika, USA ina kambi za jeshi huko Qatar
Tunajua mkuu zilikuwepo toka zamani.
Ila Qatar imeanza kupunguza utegemezi wa USA na wamagharibi,ilianza kidiplomasia ila hatua ya kijeshi ni ngumu sio nyepesi.
 
Kuna makala humu ya jana tu inazungumzia Cabo Delgado, hapa hapa jirani Msumbiji kwa siku moja walichinjwa watu 1200 wakiwemo na watoto na waislamu wanajiita Answar nini sijui.
Hata waziri wetu wa ulinzi kaliongelea hili bungeni.
Una jingine?
Hiyo ni sera ya jino kwa jino au ni UGAIDI??
Sera ya jino kwa jino ni sera ya ulipizaji kisasi,walichofanya hao wanaojiita Answar sijui huo ni ugaidi.
Na katika uislam hauruhusu hilo.
Ndio maana unaona hata Houthi kundi la wapiganaji Yemen haliui watoto ama wanawake linashambulia wanajeshi.

Nikajua unatambua unachokiongea kumbe you have no idea with what you are blabbering at.
 
Tunajua mkuu zilikuwepo toka zamani.
Ila Qatar imeanza kupunguza utegemezi wa USA na wamagharibi,ilianza kidiplomasia ila hatua ya kijeshi ni ngumu sio nyepesi.
Viongozi wao hawawezi ku-survice bila backing ya USA... sio kwamba wanawapenda, ni survival tactics
 
Viongozi wao hawawezi ku-survice bila backing ya USA... sio kwamba wanawapenda, ni survival tactics
Unazungumza ukweli mchungu mkuu,ila matukio yanayoendelea middle east waarabu washaanza kujiona hawako salama wakiungana na USA,maana kama unakumbuka 2016 USA ilimuwekea vikwazo Qatar alipokua ameanza kuwaunga mkono Hamas na Palestina,uhusiano wa vitisho ushawachosha waarabu.
Pia USA ni mlezi wa Israel,kitu ambacho waarabu kinawafanya wajione insecure wakiwa na USA.
Ipo siku hili bomu litalipuka tu.
 
Nazani wewe ndio wale mlioambiwa na edogan muungane mkapambane na Israel.
Hii kulaani tu na kubweka nyuma ya keyboard haisaidii.
Huko Rafa kipondo kinaendelea, myahudi kaziba masikio.
Kasaidieni kwa vitendo
Unahama hama mada.
Point ilikua ni kwamba ugomvi haujaanza Oktoba 7 kama unavyoshadadia.
Hayo masuala ya kulaani sijui nyuma ya keyboard yanajaje??
Ushaishiwa hoja wewe.
Kuhusu kupigana leo IDF wameondoka majeshi yao Northern Gaza.
IDF wameanza kuondoka mdogo mdogo Gaza.
Northern Israel mpakani na Lebanon hakukaliki Hizbollah wanakiwasha kule.
 
Unazungumza ukweli mchungu mkuu,ila matukio yanayoendelea middle east waarabu washaanza kujiona hawako salama wakiungana na USA,maana kama unakumbuka 2016 USA ilimuwekea vikwazo Qatar alipokua ameanza kuwaunga mkono Hamas na Palestina,uhusiano wa vitisho ushawachosha waarabu.
Pia USA ni mlezi wa Israel,kitu ambacho waarabu kinawafanya wajione insecure wakiwa na USA.
Ipo siku hili bomu litalipuka tu.
Egypt walifanya hicho unachokisema, walimtoa Mubaraka, wakamchagua Morsi, hakuchukua muda akatolewa ... huwezi kwenda kinyume na USA au interest zake
 
Egypt walifanya hicho unachokisema, walimtoa Mubaraka, wakamchagua Morsi, hakuchukua muda akatolewa ... huwezi kwenda kinyume na USA au interest zake
Uko sahihi mkuu upande mmoja na mwingine laah.
Kwa kipindi kile waarabu walifanya hima ama waliharakisha kuwa kinyume na kaka mkubwa.
Walipaswa watafute mshirika mwenye nguvu kiuchumi na kijeshi.
Mfano wa Yemeni USA ilipambana kumweka Mansour madarakani ila kwa kujizatiti kwa Houthi kupitia msaada wa Iran wa kifedha na jeshi USA wakashindwa,japo walimtumia Saudi Arabia.
Sasa ili Qatar na wenzake wafanikiwe wanahitaji diplomatic and millitary independence.
Kitu ambacho waarabu wengi kwasasa hawana mkuu.
 
Back
Top Bottom