Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

Kwa nini unaanzia na Oct 7 kama vile mgogoro wote umeanzia Oct 7 wakati mgogoro ni wa muda mrefu?
Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.
Bila hiyo Oct 7 mazungumzo ya kudai inayoitwa haki kwa amani yangeendelea vyema.
 
Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.
Bila hiyo Oct 7 mazungumzo ya kudai inayoitwa haki kwa amani yangeendelea vyema.
Hapana, umeanzia habari katikati.

Yani ni kama unasema wewe ni mtu mweusi kwa sababu baba na mama yako ni weusi.

Wakati kuna babu na bibi zako waliowazaa wazazi wako hujawataja.
 
Hawajapigana
Wamepigana.Kafuatilie vizuri.
Nagorno-Karabakh Armenia aliomba usaidizi Russia na Belarus,msaada ukaja toka Russia wa 300+troops.
Azerbaijan nae akaomba msaada Turkiye,na mbaya zaidi waliokua frontline katika ground operation pale karabakh wakiisaidia Azerbaijan ni wanajeshi wa kituruki,walikufa mamia ya askari wa Russia.
Usibishe mkuu unless uwe hukufuatilia habari.
 
Hizo jamii mbili Yahudi na Islamu zimekutana, wote ni wazee wa jino kwa jino. Na wote wanakawaida ya kujiona bora kuliko jamii zingine.
Kwao kufutiana vizazi ni kawaida.
Islam kuuwa na kuchinja watoto ni kawaida na Yahudi kuuwa na kuchinja watoto ni kawaida.
Una uthibitisho na uongeacho?
 
Umeongea vyema
Ila kwa upande wangu sioni kama wapalestina wanaonewa kiasi cha kuwahurumia.
Wameyaanzisha wenyewe, wayamalize wenyewe.
Oct 7 waliuwa watu wasio na hatia hawakuchagua wakuuwa na walisherekea kwa nderemo na vifijo.
Hapo wamekutana na wazee wa jino kwa jino.
Usinifundishe kuhurumia watu wasio na huruma.
Ugomvi haukuanza Oktoba 7,ugomvi ulianza August ambapo israel settlers walikua wakivunja nyumba na kuchoma mashamba ya bedui wa kipalestina kule Jenin.
Pia waliongeza marine restrictions pale Gaza strip.
Je wewe ulitaka wafanyaje!?
Ulishawahi kujiuliza kwanini SPAIN NA BELGIUM walimuita Netanyahu WAR MONGER?
Kwasababu yeye huanzisha ugomvi ila watu wakijibu anaona kaonewa.
Na kama haujui kila mwaka Israel hukamata watoto wa kipalestina sio chini ya 200 wenye umri chini ya miaka 12 na kuwaweka jela za kijeshi zikiwapiga na kuwatisha ili kuwatia hofu.
Je hiyo ni sawa!?
UN na Spain,Belgium,Brazil,Norway wanajua kuliko wewe unaekaa Tandale kwa tumbo,ndio maana wakachagua kuisapoti Palestina.
 
Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.
Bila hiyo Oct 7 mazungumzo ya kudai inayoitwa haki kwa amani yangeendelea vyema.
Ugomvi ulianza August pang'ang'a wewe.
Hilo mbona lilizungumzwa na ushahidi ulitolewa unaoonesha IDF na walowezi wa Israel wakivunja nyumba za Wapalestina!?
Wewe ni nani mpaka ubishe mzee!?
Mpaka Spain imesadikisha na kuiunga mkono Palestina wewe mngoni unabisha nini!?
 
Kwa hiyo wewe ukiunga mkono Palestine, na Spain akiunga mkono Palestine ndio inanifanya na mimi niingie mkono Palestine?
Zwazwa wewe!
 
Hiyo Arab peace summit ilifanyika wapi na lini mkuu?

Kuhusu UNRWA nitasema baada ya wewe kunipa jibu la Arab peace summit.

Ahsante sana kiongozi.
Vikao vilifanyika Cairo Egypt.
Host akiwa Abdul Fattah Elsisi.
Vilianza wiki ya pili ya vita za Gaza Oktoba,vilifanyika vikao vingi mpaka kufikia mwanzoni mwa 2024.

Moja wapo wa nukuu za kikao hiko hapo chini,nilipopazungushia alama nyekundu utaona Cleverly UK foreign minister akiwa kahudhuria kikao na UN GS Gutteres.
Screenshot_2024-05-31-19-26-21-42_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-31-19-27-02-63_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-31-19-28-51-35_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kwa hiyo wewe ukiunga mkono Palestine, na Spain akiunga mkono Palestine ndio inanifanya na mimi niingie mkono Palestine?
Zwazwa wewe!
Hujielewi.
Ninachokimaanisha huna unachokijua na uache kushadadia usiyoyajua.
Maana unaongea blunder tupu.
Kila unachoongea uharo tu.
 
Hujielewi.
Ninachokimaanisha huna unachokijua na uache kushadadia usiyoyajua.
Maana unaongea blunder tupu.
Kila unachoongea uharo tu.
Kwa hiyo wewe unajidhania unajua kuliko wayahudi na wapalestina wenyewe?
Bure kabisa!
 
Naona hujasoma nilichoandika vizuri.

Marekani ndio sponsor wa hao viongozi wa hizo nchi za Kiarabu, hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya bwana mkubwa . Swala la kuwapenda au kutowapenda halina maana sana
Mataifa yanayotegemea USA yameanza kupungua.
Ndio maana wameanza kumuunga mkono Iran kitu ambacho hakikuwahi kutokea.
 
Uthibitisho ni sera zao za jino kwa jino.
Kuna lingine?
Hiyo sera ya jino kwa jino inathibitisha vipi kua waislam wanaua hadi watoto?
Ama lete ushahidi wa waislam wakiua watoto kwa hiyo sera ya jino kwa jino.
 
Kwa hiyo wewe unajidhania unajua kuliko wayahudi na wapalestina wenyewe?
Bure kabisa!
Ona ulivyo unachekesha😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️.
Hiyo Spain kuiunga mkono Palestina imepata ushahidi toka pande zote mbili,yani Palestina na Israel,na ushahidi ukapatikanika kuwa Israel ndio imeanza ukorofi August kwa kuvunja nyumba za Jenin.
Aya wewe una ushahidi upi wa kuwa ugomvi ulianza Oktoba 7 badala ya August?
 
Mataifa yanayotegemea USA yameanza kupungua.
Ndio maana wameanza kumuunga mkono Iran kitu ambacho hakikuwahi kutokea.

Egypt, Saudia, Jordan, UAE, Qatar, Bahrain... zote zipo kwenye mifuko ya Marekani. Nchi peke yake iliyobadili uelekeo ni Yemeni, wengine bado ni maadui wa muda mrefu wa Marekani.
 
Egypt, Saudia, Jordan, UAE, Qatar, Bahrain... zote zipo kwenye mifuko ya Marekani. Nchi peke yake iliyobadili uelekeo ni Yemeni, wengine bado ni maadui wa muda mrefu wa Marekani.
Ila yanajitahidi kujiengua.
Kama Qatar ishajitengenezea domain yake tayari.
Ila subiri tuone maana wameanza kujisogeza Iran taratibu.
 
Back
Top Bottom