K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Nchi gani duniani haina shoga?Yaani Taifa lililoruhusu na kuongoza kwa ushoga ulimwenguni linakuwa limebarikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi gani duniani haina shoga?Yaani Taifa lililoruhusu na kuongoza kwa ushoga ulimwenguni linakuwa limebarikiwa?
International laws hazipo hivyo unadhani mtu akijisikia tu anapeleka jeshi? Huoni sasahivi mambo yalivyogeuka kwa israel?Si apeleke majeshi yake pale Ukanda wa Gaza yakapambane na IDF?
Hizi nchi za mashariki ya kati zikipigana vita zikiona maji yanazidi unga zinabadilisha narrative na kuweka mambo ya dini ili kuweza kupata support ya kuungwa mkono na wezao . Wanasahau kwamba wao ndio walianzisha uchokozi.Huu ni ubaguzi wa kidini. Watu wanaopinga udhalimu wa Israel si Waislamu tu. Sasa yeye kwa kusema hivyo anaonesha kama hii ni vita ya kidini kati ya Waislamu na Wayahudi.
which Allah?
The invisible who is waiting for the living people to fight for him?
sisi hao, waislam ambao tunashauriwa tuungane dhidi ya israelRaisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Atatoaje tamko wakati miaka yote Israel inafanya udhalimu, hata hio Oct 7 ilikuwa ni retaliation. Israel inaua sana Palestinians, inaua sana.Mbona hakutoa tamko ile tarehe 7/10/2023 wakati watoto, wanawake, watanzania na mataifa mengine zaidi ya watu 1200 walipouliwa na Hamas hapo Israel?.
Lakini kwa nini hii issue iwe about Waislamu na si wapenda haki wote tu wa dunia?Hawa watu ni watu wa hovyo sana.
South Afrika, nchi isiyo ya kiislamu ikafungua mashtaka dhidi ya Israel wao wamekaa tu wametulia.
Mexico, nchi isiyo ya kiislamu imetangaza kujiunga na South Africa kuishtaki Israel, wao wamekaa tu.
Wanajiita nchi za kiislamu za Allah. I hate to say it lakini hii ni dini nadhani ya watu Punguani sana hapa Duniani.
Waislamu wanaidogosha hii issue wenyewe.Kama huyu kamanda ambae ni senate wa marekani ni mtu mpenda haki sana ambae pia ameisupport icc
Suala la nani kaanzisha ni refu na pana.Hizi nchi za mashariki ya kati zikipigana vita zikiona maji yanazidi unga zinabadilisha narrative na kuweka mambo ya dini ili kuweza kupata support ya kuungwa mkono na wezao . Wanasahau kwamba wao ndio walianzisha uchokozi.
Kwani ugomvi ulianzia Oktoba 7?Mbona hakutoa tamko ile tarehe 7/10/2023 wakati watoto, wanawake, watanzania na mataifa mengine zaidi ya watu 1200 walipouliwa na Hamas hapo Israel?.
Tuipambanishe tu na Uturuki,Israel kazidiwa na Uturuki vitu vifuatavyo;Kipi kizuri unacho/mnachoizidi Israel ili tubaini nani amebarikiwa na nani amelaaniwa?
Una uhakika Palestina ndio alianza ukorofi!?Hizi nchi za mashariki ya kati zikipigana vita zikiona maji yanazidi unga zinabadilisha narrative na kuweka mambo ya dini ili kuweza kupata support ya kuungwa mkono na wezao . Wanasahau kwamba wao ndio walianzisha uchokozi.
Mbona unaropoka pasi na ushahidi??Hawa watu ni watu wa hovyo sana.
South Afrika, nchi isiyo ya kiislamu ikafungua mashtaka dhidi ya Israel wao wamekaa tu wametulia.
Mexico, nchi isiyo ya kiislamu imetangaza kujiunga na South Africa kuishtaki Israel, wao wamekaa tu.
Wanajiita nchi za kiislamu za Allah. I hate to say it lakini hii ni dini nadhani ya watu Punguani sana hapa Duniani.
hawa wa kwa mpalange wanadai Israel kashindwa huyu nae anataka islamic world iungane dhidi ya Israel so which is which?!Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Bila kutukana mchango wako haufiki?Kutaka kuweka utofauti ni UJINGA mkuu.
Summit zinasaidia nini ama zimeisaidia nini Palestina?. Matokeo ya hizo summits ni nini, yako wapi maamuzi ya summits?Mbona unaropoka pasi na ushahidi??
Unajua vilikalika vikao vingapi vya ARAB PEACE SUMMIT pale Egypt Alexandria kabla ya kesi ICJ??
Kuanzia Oktoba 10 mpaka inaingia desemba Egypt waarabu walikaa vikao vingi na kufanya jitihada nyingi sana kujua wanaisaidiaje Palestina.
Ila wewe kijana mdogo utajulia wapi haya mambo!??
Kwa maoni yangu:Huo ni ubaguzi wa kidini, anaifanya hii vita kuwa ya kidini wakati ni kubwa zaidi ya dini.
Wapalestina wanahitaji msaada wa kika mtu, si msaada wa Waislamu tu.
Huyu nae anaorodheswaRaisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Sio kwamba wanadogosha ila inatushangqza sisi wenyewe kwa nini nchi za kiislamu ziko kimia.Lakini kwa nini hii issue iwe about Waislamu na si wapenda haki wote tu wa dunia?
Tunaidogoshaje issue ya haki za binadamu, kitu ambacho ni universal, iwe issue ya Waislamu tu?
Too little too late, miezi, nane baada ya mauaji,ya, wa Arabs wenzenu, wana wake na, watoto 35000+, Leo ndio mnaamua!Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819