Mbona ni muda Brazil alishaondoa mabalozi wake Israel!?
Hii habari ya muda sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isivyo bahati hakuna wa kumvamia wala kutafuta ugomvi na Marekani hapa duniani.
Ila kuna sehemu nyingi Marekani anatafuta ugomvi na mataifa mengine na kuyafuata huko kwao kupambana.
Waarabu wataendelea kulialia kwa miaka mingine kadhaa hadi pale USA atakapoona wameishiwa mafuta.
Aiseee hii analogy nzito sana, ngoja wenye imani yao wajewhich Allah?
The invisible who is waiting for the living people to fight for him?
Mbona amevaa kimagharibiRaisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
😂😂😂😂😂😂😂😂Nani, mimi au Erdogan!?
Mbona amevaa kimagharibi
Huyo ambaye mifumo ya fedha ya kibenki yote imekufa na wahuni wameondoka na kila kitu raia wako wanalia hawana A wala B, ndo awe kikwazo kwa USA?.Yuko anayemwogopa ni mdogo anaingia zaidi ya ya mara 10 000 nchi mwake , CUBA
Kabakia kumwekea vikwazo tu
Unaota wewe.Wataishia kuvimba tu kwenye vyombo vya habari lakini kukaa msitari wa mbele kupambana na Israel hilo sahau kuona wakiungana.
Kuna waarabu wenzao wengi tu wasiopenda uharamia wa Hamas na Houth kama Saudi Arabia na wengineo ambao wako chini ya USA na washirika wake.
Israel mbele kwa mbele.
Avae kanzu na barghashiaKwani hilo vazi ni la kimagharibi , ?? Soma historia
Huyo ambaye mifumo ya fedha ya kibenki yote imekufa na wahuni wameondoka na kila kitu raia wako wanalia hawana A wala B, ndo awe kikwazo kwa USA?.
Cuba ni nchi yenye maisha yanayofanana kwa kiwango kikubwa kwa sasa na nchi za ulimwengu wa 3, sasa nchi ya ulimwengu wa 3 inawezaje kuishinda USA?.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Kwani hilo vazi ni la kimagharibi , ??Avae kanzu na barghashia
Muulize Vladimir Putin askari wake Nagorno-Karabakh walipatwa na nini walipokutana na jeshi la Uturuki.utapigwa mpaka unye,
Are you sure with what you are talking about?which Allah?
The invisible who is waiting for the living people to fight for him?
Kwani hilo vazi ni la kimagharibi , ?? Soma historia
Sio kweli.Ndumilakuwili uyu
Cuba hawana rasilimali zozote za maana kama gas, mafuta au madini kwa kiwango kikubwa, uchumi wao unategemea zaidi kilimo.Yuko hapo jirani mbona kashindwa kwenda kumvamia baada kuchezea kichapo
Cuba hawana rasilimali zozote za maana kama gas, mafuta au madini kwa kiwango kikubwa, uchumi wao unategemea zaidi kilimo.
USA anavamia nchi pekee ambazo zina rasilimali za asili za kutosha, kama hauna cha maana ataishia kukuwekea vikwazo tu ila hatakuja kupigana na wewe.
USA hajawahi chezea kichapo toka kwa Cuba zaidi ya maneno tu ya kwenye khanga na tambo za hapa na pale zisizo na matendo ndani yake.
Umeshasahau kama Turkiye ni NATO member!?Si apeleke majeshi yake pale Ukanda wa Gaza yakapambane na IDF?