George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Kwanini unauliza kuhusu dini yangu!?Ngumu kuamini, wewe ni wa dini gani? Tuanzie hapo!
Kwa nini nchi za Kiislamu?Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1795786812104847819
utapigwa mpaka unye,Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1795786812104847819
Nani, mimi au Erdogan!?utapigwa mpaka unye,
Mkuu,Kwa nini nchi za Kiislamu?
Afrika ya Kusini imeanzisha mpaka kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama za kimataifa, na si nchi ya Kiislamu. Haoni kuwa kaitenga?
Huenda Erdogan anaamini kuwa hoja ya udini ina nguvu na ushawishi zaidi kuliko hoja ya ubinadamu!Kwa nini nchi za Kiislamu?
Afrika ya Kusini imeanzisha mpaka kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama za kimataifa, na si nchi ya Kiislamu. Haoni kuwa kaitenga?
Huu ni ubaguzi wa kidini. Watu wanaopinga udhalimu wa Israel si Waislamu tu. Sasa yeye kwa kusema hivyo anaonesha kama hii ni vita ya kidini kati ya Waislamu na Wayahudi.Mkuu,
Na leo U.S. Anasema oparesheni ya israeli rafah bado haijavuka red line.
Nafikiri kasema waislamu akifikiri itakuwa ni rahisi zaidi kupata kuungwa mkono, japo angeongea tu kwa ujumla.
Huo ni ubaguzi wa kidini, anaifanya hii vita kuwa ya kidini wakati ni kubwa zaidi ya dini.Huenda Erdogan anaamini kuwa hoja ya udini ina nguvu na ushawishi zaidi kuliko hoja ya ubinadamu!
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Wataishia kuvimba tu kwenye vyombo vya habari lakini kukaa msitari wa mbele kupambana na Israel hilo sahau kuona wakiungana.
Kuna waarabu wenzao wengi tu wasiopenda uharamia wa Hamas na Houth kama Saudi Arabia na wengineo ambao wako chini ya USA na washirika wake.
Israel mbele kwa mbele.
Isivyo bahati hakuna wa kumvamia wala kutafuta ugomvi na Marekani hapa duniani.Umeusahau uharamia wa hao wamarekani ??