ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu.

Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel

Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako Israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za Uturuki.

Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?

Screenshot_2025-09-03-18-19-07-658.jpg
Screenshot_2025-09-03-18-18-45-429.jpg
 
US anasemaje kwani?
 
ERDOGAN,rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel Ili kulinda utu
Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel

Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za uturuki
Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?

View attachment 3464065View attachment 3464066
Waislamu kwa uongo ni jadi yao!!!
 
Vizuri sana na alianzishe sasa yasibaki maneno tu maana hata kwenye khanga yapo ila asianze kulialia baadae myahudi atakapokuwa anajipigia istanbul, ankara na kwingineko kama atakavyo
 
Israel akichomoka sasa hivi tamuheshimu sana, watu wamedhamiria kumfuta kabisa

Fullstop, kwishaaaa
Wafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
 
Back
Top Bottom