Mnyaturu huyu huyu Mjela jela wa Mahakamani...Erdogan asiwe domokaya tu bila vitendo kama mnyaturu
Mnyaturu huyu huyu Mjela jela wa Mahakamani...Erdogan asiwe domokaya tu bila vitendo kama mnyaturu
Porojo hizo 🚮Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?
Na alivyo na maadui wa ndani watampasua dk zero
USSR
Iran huyu anga lake lilitekwa lote ndani ya siku mojaHana jeuri hiyo hata kidogo kama angesema hayo Iran ningeamini
Mturuki hapeleki jeshi lake lipigane na Israel hata siku moja. Cyprus hawezi kukubali kuwa uwanja wa vita. They have too much to lose.ERDOGAN,rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel Ili kulinda utu
Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za uturuki
Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?
![]()
Turkey Doubles Troops in Northern Cyprus: Eastern Mediterranean on the Brink - Defence Security Asia
Turkey’s troop surge in Northern Cyprus to over 100,000 sparks fears of war with Israel, threatening NATO unity, energy security, and Mediterranean stability.defencesecurityasia.com
View attachment 3464065View attachment 3464066
Mbaya zaidi vidada ndio vinaendesha ndege kupeleka kichapoIran huyu anga lake lilitekwa lote ndani ya siku moja
Moja ya chai bora kabisa za mwaka huu.😀😀😀😀Wafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
Uzuri netanyahu hasikilizi hizi porojo za wavaa vipedoWafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
Wamshukuru trump wale ayatola mpaka sasa hayupo hadharaniMbaya zaidi vidada ndio vinaendesha ndege kupeleka kichapo
Lilitekwaje??Maana Iran alishambulia israel kwa makombora mengi ya masafa marefu sasa unatekaje anga la mtu na yeye bado anaendelea kukushambulia??Iran huyu anga lake lilitekwa lote ndani ya siku moja
Kamisi mabikra huyu kachoka kuishiNaona Erdogan kachoka kunywa sharubati za tende anataka kufwekwa awahishwe kuzimu
Israel alikua anachagua pa kupiga. Makombora hata hamas wanarusha mbonaLilitekwaje??Maana Iran alishambulia israel kwa makombora mengi ya masafa marefu sasa unatekaje anga la mtu na yeye bado anaendelea kukushambulia??
Makombora ya Iran yalikuwa hayachagui kwa kupiga?Israel alikua anachagua pa kupiga. Makombora hata hamas wanarusha mbona
Turkiye sio wa kumtegemea kwenye actions, hawezi kufanya lolote zaidi ya kulaani tu .Erdogan asiwe domokaya tu bila vitendo kama mnyaturu
Hata bondia anayekung,utwa kwa knock out huwa naye amerusha ngumi kadhaaLilitekwaje??Maana Iran alishambulia israel kwa makombora mengi ya masafa marefu sasa unatekaje anga la mtu na yeye bado anaendelea kukushambulia??
Huko ulaya washajifia wavaa kobasi washaiteka ulayaWashirika wa israel kabaki USA tu, ulaya wamepanga foleni kuitambua palestina na viongozi wao wakiilaani israel usiku na mchana,na sasa wanaongelea vikwazo kwa israel,amka!
Huo mchezo mbona ni mtamu wanakaribishwaERDOGAN,rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel Ili kulinda utu
Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za uturuki
Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?
![]()
Turkey Doubles Troops in Northern Cyprus: Eastern Mediterranean on the Brink - Defence Security Asia
Turkey’s troop surge in Northern Cyprus to over 100,000 sparks fears of war with Israel, threatening NATO unity, energy security, and Mediterranean stability.defencesecurityasia.com
View attachment 3464065View attachment 3464066
Israel bila Marekani hakuna kitu.Hao wanabwabwaja tu!!! Israel ni kitu ingine kabisa!!!