gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
- Thread starter
- #21
Wanabwabwaja na anapeleka vikosi Cyprus na Syria!!..kumchinja kobe timingHao wanabwabwaja tu!!! Israel ni kitu ingine kabisa!!!
Wanabwabwaja na anapeleka vikosi Cyprus na Syria!!..kumchinja kobe timingHao wanabwabwaja tu!!! Israel ni kitu ingine kabisa!!!
Wewe ni gallasa kama jina lako unajua washirika wa IsraelWafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh tehFrom now on Erdoğan is a marked man. He has just signed his death certificate.
Na alivyo na maadui wa ndani watampasua dk zeroFrom now on Erdoğan is a marked man. He has just signed his death certificate.
Washirika wa israel kabaki USA tu, ulaya wamepanga foleni kuitambua palestina na viongozi wao wakiilaani israel usiku na mchana,na sasa wanaongelea vikwazo kwa israel,amka!Wewe ni gallasa kama jina lako unajua washirika wa Israel
USSR
Watu walioelimika husimama pamoja dhidi ya adui wa nje kulinda taifa lao,Iran kuna wapinzani ndani lakini zile siku 12 waliungana,nyinyi tu wenye elimu ya kukariri ndiyo mnao-act dhidi ya serikali yenuNa alivyo na maadui wa ndani watampasua dk zero
USSR
Sawa crusaderJihadists wamerudi tena, kila mara wao ni kutafuta cheap publicity tu. Bure kabisa.
Netanyahu kavunja dili la gas kwa misri baada ya misri kusogeza vikosi SinaiNa kwa namna Misri naye anavyo jianadaa kijeshi, ni suala tu la muda kabla hawaja shambuliana. Maana kuvumilia ubabe wa kijinga na chokochoko za hao Mayahudi kwa nchi jirani, kunahitaji uvumilivu wa kipekee sana.
Hizi habari utazipata kutoka madrasa gogoniWafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
Endelea kujipa moyo na kujifariji!!Wafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono Hamas
Siku za uwongo wa taifa teule kuisha zimefika
Jinga kweli hiloSaaa hapa Waislam wameingiaje?
Fuatilia vyanzo mbalimbali, siyo TV tumaini tu na radio MariaHizi habari utazipata kutoka madrasa gogoni
Misri hii ya africa? Au kuna misri nyingineNetanyahu kavunja dili la gas kwa misri baada ya misri kusogeza vikosi Sinai
Huenda kobazi wanamlia timing mtu
Imekung,utwa Tehran tena kipondo heavy kiasi cha Ayatollah kuishi mapangoni kama panya buku itakuwa Istanbul?🤣😂Upige Istanbul halafu telaviv ibaki wima mkuu!!
Itakuwa nuked! Sasa Turkey hawana nukes.Upige Istanbul halafu telaviv ibaki wima mkuu!!