ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

Na kwa namna Misri naye anavyo jianadaa kijeshi, ni suala tu la muda kabla hawaja shambuliana. Maana kuvumilia ubabe wa kijinga na chokochoko za hao Mayahudi kwa nchi jirani, kunahitaji uvumilivu wa kipekee sana.
Hao Egypt 🇪🇬 na turkey wana nuclear weapons?
Tusije kushangaa Cairo alexandria Ankara Istanbul vinageuka hiroshima na nagasaki
 
Pointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha
Kweli we maamuma tena tabolarasa Iran wenyewe wamekiri tena hadharani kula kipondo cha myahudi halafu we mshindia tende za misaada unabwabwaja bwabwaja
 
Pointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha
Wapi trump alisema. Trump alisema mission complete mana vinu vya nuclear vilosafisha tiyari we uko zako namtumbo unatoa wapi taarifa
 
Wazee wavijihabari uchwara vya kuokoteza source hata hazitambuliki ukute Zina milikiwa na wamatumbi akina Ritz
 
Mzee wa watu anaishi kwa wasiwasi na machale utadhani kibaka wa Kariakoo. Watamuua kwa pressure wazayuni
Hataki kuonekanika hewani yawezekana ashakufa anawindwa na wazayuni haswaa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-09-03-20-22-23-893.jpg
    Screenshot_2025-09-03-20-22-23-893.jpg
    329.1 KB · Views: 29
  • Screenshot_2025-09-03-20-22-08-527.jpg
    Screenshot_2025-09-03-20-22-08-527.jpg
    448.2 KB · Views: 20
Hao Egypt 🇪🇬 na turkey wana nuclear weapons?
Tusije kushangaa Cairo alexandria Ankara Istanbul vinageuka hiroshima na nagasaki
Israel huwa anamtishia misri atapiga bwawa la aswan kwa nuclear liwe contaminated misri ikose maji ya kutumia majumbani
 
Pointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha
Acha ujinga kwa akili yako hiyo kiduchu unaamini kauri za Trump?? Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wabobezi 30+ na wanasayansi 60+ harafu wewe unakuja hapa kubwabwaja!!
 
Back
Top Bottom