gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Trump kasema bila tozo walizopiga nchi mbalimbali basi marekani ingekua third world country ndani ya muda mfupiUS anasemaje kwani?
Dah mnyaturu kamzidi ErdogqnErdogan asiwe domokaya tu bila vitendo kama mnyaturu
Waislamu kwa uongo ni jadi yao!!!ERDOGAN,rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel Ili kulinda utu
Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za uturuki
Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?
Turkey Doubles Troops in Northern Cyprus: Eastern Mediterranean on the Brink - Defence Security Asia
Turkey’s troop surge in Northern Cyprus to over 100,000 sparks fears of war with Israel, threatening NATO unity, energy security, and Mediterranean stability.defencesecurityasia.com
View attachment 3464065View attachment 3464066
Vizuri sana na alianzishe sasa yasibaki maneno tu maana hata kwenye khanga yapo ila asianze kulialia baadae myahudi atakapokuwa anajipigia istanbul, ankara na kwingineko kama atakavyoERDOGAN,rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel Ili kulinda utu
Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako israel hushambulia ipendavyo na kuonesha kutofurahishwa na uwepo rasilimali jeshi za uturuki
Ni kweli kitanuka au mbwembwe tu?
Turkey Doubles Troops in Northern Cyprus: Eastern Mediterranean on the Brink - Defence Security Asia
Turkey’s troop surge in Northern Cyprus to over 100,000 sparks fears of war with Israel, threatening NATO unity, energy security, and Mediterranean stability.defencesecurityasia.com
View attachment 3464065View attachment 3464066
Upige Istanbul halafu telaviv ibaki wima mkuu!!Vizuri sana na alianzishe sasa yasibaki maneno tu maana hata kwenye khanga yapo ila asianze kulialia baadae myahudi atakapokuwa anajipigia istanbul, ankara na kwingineko kama atakavyo
Nimeweka sourcesWaislamu kwa uongo ni jadi yao!!!
Nawaonea huruma hao laki moja.Maneno hayo yametamkwa uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Uturuki siyo Syria babu!Nawaonea huruma hao laki moja.
Atangulize na wanawe pia tuone uzalendo wake huyo Dikteta
Saaa hapa Waislam wameingiaje?Waislamu kwa uongo ni jadi yao!!!
Huyo ni makalioSaaa hapa Waislam wameingiaje?
Hao wanabwabwaja tu!!! Israel ni kitu ingine kabisa!!!Israel akichomoka sasa hivi tamuheshimu sana, watu wamedhamiria kumfuta kabisa
Fullstop, kwishaaaa
Wafanyakazi wa bandari wa italia wamesema ikiwa flotilla inayoenda Gaza kupeleka msaada itazuiliwa na israel au wakakosa nayo mawasiliano walau kwa dk 20 tu,basi watazuwia misafara ya meli ulaya, wakati huohuo Trump amesema israel imepoteza ushawishi kwa congress ya marekani,na 60% ya vijana wa marekani wanaunga mkono HamasIsrael akichomoka sasa hivi tamuheshimu sana, watu wamedhamiria kumfuta kabisa
Fullstop, kwishaaaa
Mkuu tunza kauli zako huyu jamaa anaenda kufanywa kitu kibayaHao wanabwabwaja tu!!! Israel ni kitu ingine kabisa!!!