100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Miaka 50kwa mujibu wa taarifa za wakoloni wenyewe Uturuki ni nchi yenye jeshi strong sana Middle East atashindwa vipi kumpiga Israel ambaye ametoka kuchapwa na Iran yenye vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 10 ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Erdogan ni mnafiki wa kiwango cha SGR..Erdogan anauma na kupuliza tu, ni msemaji zaidi kuliko mtendaji.
Haiingii akilini maana Iran ndiye alichokozwa na wakauwawa watu wake zaidi ya 1,000 wakiwemo Makamanda wabobezi 30+ alikubali vipi asitishe vita na hasara yote hiyo? Moja alikubali kwa sababu vita ilikuwa imemlemea na alikuwa hawezi kupambana vilivyo hivyo akaona bora iishe tu. Pili baada ya kushindwa kuponową hata ndege-vita moja ya Israel akaona bora tu akubali yaishe.Aliyeiomba marekani na Qatar iwaambie Iran vita iishe ndiye aliyedundwa,na Trump alimtaja aliyedundwa,vifo vitani kawaida
Hapo ulokole umeingiaje Bwege wewe au unataka na mimi niuseme uislamu wako harafu wewe ukimbilie MODs kushitaki?We jinga sana, yaani tusimuamini rais wa marekani anayekua briefed na CIA na ni mfadhili wa israel,tukuamini wewe unaeendeshwa na itikadi za kilokole!?
Siyo harafu bali halafu, ndiyo unasukumwa na itikadi za kilokole,bila shaka una bendera za israel sebuleni na kila kona ya kitandaHapo ulokole umeingiaje Bwege wewe au unataka na mimi niuseme uislamu wako harafu wewe ukimbilie MODs kushitaki?
Hawana majibu ya maana ila wamejawa topeAkikujibu ni tag mkuu..
Iran pekee ndiyo aliyeweza kuishambulia israel na kambi za Marekani mashariki ya katiErdogan ni mnafiki wa kiwango cha SGR..
Nikiwa nazo hizo bendelera wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako?Siyo harafu bali halafu, ndiyo unasukumwa na itikadi za kilokole,bila shaka una bendera za israel sebuleni na kila kona ya kitanda
Mpaka sasa mtemi wa Middle east ni Iran. Wengine hamna kitu
Siyo bendelera we nguruwe,ni benderaNikiwa nazo hizo bendelera wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako?
Wacha wewe.Uturuki yuko mblia sana kiteknolojia kuliko Iran.Halafu yupo karibu sana na Netanyahu kuliko Iran,Imekung,utwa Tehran tena kipondo heavy kiasi cha Ayatollah kuishi mapangoni kama panya buku itakuwa Istanbul?🤣😂
Erdogan akiingia na Iran atarudi tena kirahisi pamoja na Hizbullah wake.Itakuwa ni mvua tu ya makombora Tel aVivIran pekee ndiyo aliyeweza kuishambulia israel na kambi za Marekani mashariki ya kati
Ngoja nikupuuze maana hamkawii kukimbilia kwa MODs kushitaki!!!Siyo bendelera we nguruwe,ni bendera
Hata iweje erdogan hataweza kupigana na MarekaniErdogan akiingia na Iran atarudi tena kirahisi pamoja na Hizbullah wake.Itakuwa ni mvua tu ya makombora Tel aViv
Ndiyo nini Sasa maana umeishia kulalamika na visingizio lukuki!!!Uturuki ndo nchi yenye nguvu ya Kijeshi Ulaya Mashariki na Nchi ya pili Kwa nguvu za kijeshi ndani ya NATO. Sema kupigana na Israel kunahitaji akili kubwa maana kimsingi atakayepigana siyo Israel Bali Marekani na wake zake akina Ufaransa na Uingereza bila kumsahau Kanada na Ujerumani. Mwenye uthubutu ni Iran tena hadi apigwe kwanza ndo huwa inajibu revenge.
Nakazia hoja. Hiyo itakuwa ndo "sadaka ya kujimaliza" itakayo tolewa na Uturuki.Vizuri sana na alianzishe sasa yasibaki maneno tu maana hata kwenye khanga yapo ila asianze kulialia baadae myahudi atakapokuwa anajipigia istanbul, ankara na kwingineko kama atakavyo
Mbona ni kama Historia inataka kujirudia?.Mkuu tunza kauli zako huyu jamaa anaenda kufanywa kitu kibaya
Fullstop kwishaaa