Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba.
M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21
Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa.
Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo.
Inasemekana Sir Alex Ferguson alikasirishwa na kitendo cha mwafrika Huyu kwenda kununua magari ma tano Kwa mkupuo at age of 21 kitendo ambacho kili mkera sanaa na Alex Ferguson alimtafutia mtu wa counselling amsaidie phycologically.
Sio Siri hili ni Tatizo kubwa sana Kwa Waafrika walio wengi tunapo pata pesa nyingi sana Kwa mkupuo mmoja.
Vile vile hata alipo ondoka Manchester united na kusajiliwa Aston villa hakuacha vituko Alitumia pesa nyingi sana kujipendezesha kwenye nywele.
Alikua rafiki mkubwa wa christian Ronaldo wakiwa Man U na walisajiliwa pamoja na mechi ya kwanza Djemba Djemba kucheza ilikua dhidi ya Arsenal Fc.. man walishinda mechi Kwa penalt. Sol campel alimwambia djemba_djemba it's your first match in primer Ligue & you hit me like this.
Kwa Sasa ana miaka 41 Huyu kiungo namba 6 Djemba Djemba.
Je, unakumbuka nini juu ya Manchester united