Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #21
Haahaa,Uso wake ulikuwa unaonesha hawezi kufikia roho ngumu kama ya Roy Keane
Sura yake 🤓🤓🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa,Uso wake ulikuwa unaonesha hawezi kufikia roho ngumu kama ya Roy Keane
Msukuma wa hapo Bariadi.Yule Ngolo Kante ni Muha au Msukuma?
Kweli mkuu...Ila kama una njaa huwezi kuwaza mambo ya plan na budget.Waafrika tuna mambo yetu....
Kwenye kuzingatia muda wengi tuna fail,
Wengi wetu Hatuna plans za kimaishaa...
Tuna ishi bila budget....
Ngolo kante,Msukuma wa hapo Bariadi.
Ni sahihi sana mkuu umesema kwel...🤓Kweli mkuu...Ila kama una njaa huwezi kuwaza mambo ya plan na budget.
Tukiweza kujitosheleza kwenye chakula, mavazi na malazi hayo mengine tutayamudu vizuri tu.
Noma sana,yule ni wa huku labisa.Mmakonde wa tandahimba 🤓
Keane alikuwa na vituko vingi sana enzi anacheza hasa Man Utd.Haahaa,
Mbwa wangu akashinda simple tuu Duu
Haahaa,😀😀Kila mtu ana malengo na hela zake hivyo tusipangiane matumizi
Roy Keane alikuwa ni mtu na nusu. Sitasahau jinsi career yake ya Man Utd ilivyoisha baada ya kuwabwatukia madogo wa Utd kuwa wanazingua na hawajitumi.Keane alikuwa na vituko vingi sana enzi anacheza hasa Man Utd.
Aliwahi kumstaafisha soka Alf-Inge Haaland (baba mzazi wa Erling Haaland)
Mkasa ulikuwa hivi;
Mwaka 1997 wakati Alf-Inge Haaland anacheza Leeds Utd alimchezea rafu Roy Keane na kumuumiza na kumfanya akose mechi kadhaa.
Alf-inge Haaland akasema kuwa Keane alijirusha na kujivunja mwenyewe. Roy Keane hakufurahi basi akaendelea kuuguza majeraha yake mpaka akapona akarudi uwanjani.
Roy Keane aliumizwa sana na maneno yale, akaapa kimya kimya lazma nimrudishie. Kikawa kisasi cha kimya kimya.
Kisasi kikachukua miaka minne kukamilika. Ndio kutoka mwaka 1997 mpaka mwaka 2001 Haaland akanaswa kwenye mtego wa Keane.
Alf-Inge Haaland alikuwa amehamia Man City, katika mechi ya Manchester Derby iliyopigwa Old Trafford, Roy Keane akiwa amepasiwa mpira uliokuwa juu aliuacha udunde kwanza, wakati anataka kuucheza akaucha baada ya kugundua Haaland anakuja kuugombania.
Haaland bila kujua, akaufikia mpira ile anataka kuucheza tu, Roy Keane alimrukia kwenye goti almanusura jamaa avunjike.
View attachment 2587420View attachment 2587421
Haaland akaanguka chini, Keane akamfuata palepale akamkoromea sana. Akapewa red card na baadae F.A baada ya kuchunguza, wakamtoza faini na kumfungia mechi 3.
Roy Keane alivyokuwa mpuuzi, mwisho wa msimu akatoa kitabu chake, akaelezea tukio hilo, kuwa na kisasi alichokuww anakisubiria kwa muda mrefu sana na kusema kweli kutoka moyoni mwake alikuwa amefurahi sana.
F.A ikimuongezea faini Roy Keane na kumfungia mechi 5 zaidi, Haaland akakaa nje muda mrefu na hatimaye baada ya kushauriana na madaktari wake akastaafu mpira kutokana na tatizo kubwa alilolipata kwenye goti.
Huyo ndio Captain Roy Keane, nahodha mwenye mafanikio zaidi katika EPL
View attachment 2587426
Asante sana Kwa kutukumbusha simulizi hii nzuri ya Roy Keane....Keane alikuwa na vituko vingi sana enzi anacheza hasa Man Utd.

Maisha ni fumbo...Kama kawaida jamaa kwa sasa amefilisika kabisa
Kwa hawa waswahili wala siyo fumbo. Ushamba tu na ulimbukeniMaisha ni fumbo...
Aliwashtumu madogo wa kipindi hiko akina Dareen Fletcher, John O'Shea na wengineo ambao walikuwa vipenzi vya Sir Alex, mbaya zaidi alishatumu mbele ya televisheni ya klabu, MuTVRoy Keane alikuwa ni mtu na nusu. Sitasahau jinsi career yake ya Man Utd ilivyoisha baada ya kuwabwatukia madogo wa Utd kuwa wanazingua na hawajitumi.
Roy Keane alikua ni Ironic mtu wa chuma...hakupenda lelemama....Roy Keane alikuwa ni mtu na nusu. Sitasahau jinsi career yake ya Man Utd ilivyoisha baada ya kuwabwatukia madogo wa Utd kuwa wanazingua na hawajitumi.
Kuna watu Huwa wana spirit za juu sana...Aliwashtumu madogo wa kipindi hiko akina Dareen Fletcher, John O'Shea na wengineo ambao walikuwa vipenzi vya Sir Alex, mbaya zaidi alishatumu mbele ya televisheni ya klabu, MuTV
Yale mamilioni yote ameyapeleka wapi ?Kama kawaida jamaa kwa sasa amefilisika kabisa