Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #41
Matumizi bila akiba//Yale mamilioni yote ameyapeleka wapi ?
Pesa zitakukimbia//
FID Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi bila akiba//Yale mamilioni yote ameyapeleka wapi ?
Dah!...haya maisha yanahitaji nidhamu Sana.Matumizi bila akiba//
Pesa zitakukimbia//
FID Q
Hope,Dah!...haya maisha yanahitaji nidhamu Sana.
Ukiona upo kwenye kilele cha mafanikio na pesa zinakupa upendeleo ndio muda wa kuwa na nidhamu ya hali ya juu ya matumizi na uwekezaji maana muda wowote mambo huweza badilika.
Wahenga wana usemi waoDah!...haya maisha yanahitaji nidhamu Sana.
Ukiona upo kwenye kilele cha mafanikio na pesa zinakupa upendeleo ndio muda wa kuwa na nidhamu ya hali ya juu ya matumizi na uwekezaji maana muda wowote mambo huweza badilika.
Kwanini mkuu...tia neno..Kuna mambo yanafurahisha sana...