Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

mkuu unaenda mbali papaa msofe ameimbwa sana mbaka spika zinapasuka utafikiri ana mchngo wowote hapa bongo
 
Ni vile Lucas Mwashambwa hana kipaji cha kuimba.

Angekuwa anaporomosha nyimbo za kumsifu Samia kila siku, kama anavyo shusha nyuzi za kumsifu.
 
KARMA IS BITCH
 
Umechimba kinani kabisa
 
Anve

Kamatwa Congo ingekua rahis kuzima bati kakamatiwa mbele, japo sio mbele kivilee!
Unadhani nyumbani alikuwa hajasomwa biashara yake? Huku ukiwa na hizi ishu changia kampeni,kuwa kada usilete pigo za kipinzani mambo yataenda mpaka atakapo kuja mwenzako atakaofa deal kubwa zaidi yako. Ni ngumu kupiga hizi mitikasi wasikujue nyumbani
 
Umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…