ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Soma vizuri comment yangu uielewa. Hakuna sehemu nimesema Hush alikuwa muuza dawaHush Puppy hakua muuza Madawa ila alikua kijana mmoja masikini limbukeni wa kinaijeria Tapeli wa kimtandao aliekubuhu aliewaumiza wengi kwa muda mrefu kwa kuwaibia mabilioni ya dollars na kujionyesha mitandaoni,
Hakuna sehemu nimesema Hush alikuwa muuza dawa. Soma vizuri nilichoandikaHush Puppy hakua muuza Madawa ila alikua kijana mmoja masikini limbukeni wa kinaijeria Tapeli wa kimtandao aliekubuhu aliewaumiza wengi kwa muda mrefu kwa kuwaibia mabilioni ya dollars na kujionyesha mitandaoni, na usichojua kafungwa muda mfupi sana sababu kawauzia ramani nzima ya mchezo ili wengine nao wanaocheza michezo km yake wadakwe watiwe ndani bila hivyo angechezea mvua nyinyi sana nyuma ya nondo
Sasa wewe unalinganishaje watu wa kesi 2 tofauti Hush Puppy alitumwa na mtu au ni yeye ndio alikua kiongozi wa genge lake la matapeli wa kimtandao, huyo Mandala ni kidagaa mdogo tu kuna mapapa wenyewe hicho ndicho nimekimaanisha Colombia ni Marekani ya Kusini sio Marekani ya Kasikazini soma jiografia vizuri ndio nilimaanisha hivyoSoma vizuri comment yangu uielewa. Hakuna sehemu nimesema Hush alikuwa muuza dawa
Swali zuri watu wanaamini matumizi ya pesa au ukiwa una pesa nyingi huwezi fungwa.Sasa wewe unalinganishaje watu wa kesi 2 tofauti Hush Puppy alitumwa na mtu au ni yeye ndio alikua kiongozi wa genge lake la matapeli wa kimtandao, huyo Mandala ni kidagaa mdogo tu kuna mapapa wenyewe hicho ndicho nimekimaanisha Colombia ni Marekani ya Kusini sio Marekani ya Kasikazini soma jiografia vizuri ndio nilimaanisha hivyo
Issue sio hela Hush Puppy hakua na ma God father behind ushaelewa Hush Puppy alikua yeye ndio shina kuu yeye ndio kiongozi mkuu wa genge lake la kitapeli ndio maana wakamtarget yeye, Mandala sio God father ni small fish 🐟 ambae behind atakua na ma God father wa huo mchezo wa kusambaza viinilishe sasa hao ndio wanajua nini cha kufanya usiangalie pesa angalia nani na nani yupo nyuma ya hizo pesaSwali zuri watu wanaamini matumizi ya pesa au ukiwa una pesa nyingi huwezi fungwa.
Ndio nikama namjibu mleta comment mmoja. Nikamwambia kama Hush alivyokuwa na pesa mingi basi na yy asingefungwa. So kitu kimoja wanacho share Hush na Mandala ni kuwa na hela nyingi.
Isilazimishe maoni yangu yalingane na yako. Mm nimezungumza kitu tofauti na ww unazungumza kitu tofauti. Tuache kama ilivyoIssue sio hela Hush Puppy hakua na ma God father behind ushaelewa Hush Puppy alikua yeye ndio shina kuu yeye ndio kiongozi mkuu wa genge lake la kitapeli ndio maana wakamtarget yeye, Mandala sio God father ni small fish 🐟 ambae behind atakua na ma God father wa huo mchezo wa kusambaza viinilishe sasa hao ndio wanajua nini cha kufanya usiangalie pesa angalia nani na nani yupo nyuma ya hizo pesa
Wewe umeeleweka na mimi nimeeleweka ila katika mukhtadha tofauti, kikubwa tumeelewana inatoshaIsilazimishe maoni yangu yalingane na yako. Mm nimezungumza kitu tofauti na ww unazungumza kitu tofauti. Tuache kama ilivyo
Kaka ushaambiwa ni mtego....kama ushawahi kumtegeme panya mtego utakuwa ushaelewa apoKwanini aendeshe mwenyewe gari na ni Don, angetuma vijana tu!!
Billion dollars kubwa.Hamna hamna huku kwa Bibi nyau billion dollars ni ndogo? Shikamoo pesa
B 1 ya madafu kwa Bibi nyau ni ndogo?Billion dollars kubwa.
Bilioni ya shilingi ndogo.
Ndogo hiyo.B 1 ya madafu kwa Bibi nyau ni ndogo?
Ila B dollars za Trump ndio hamna hata yule dogo analingishia magari aliyoingiza kwa njia ya kusafisha pesa hana B dollarsNdogo hiyo.
Wabongo wengi tu wanazo B kadhaa.
Na biso candidatDRC ndo makao makuu ya machawa na praise singers. Mcongo kumsifia mtu ili apate chochote ni kama kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo, Kkoo. Wasanii wa DRC waache ujinga wa kutunga nyimbo za kusifu watu kama miungu. Koffi Olomide ana wimbo unaitwa Mike Mosisi ambaye ni kiongozi wa serikali huko Eastern DRC. The late Franco naye ana wimbo wa kumsifu Dikteta Mobutu... wimbo mrefu ila huchoki kusikiliza... ni hit song iliyojaa propaganda.
Hyo pesa ndogo mkuu kuna watu wanamiliki visima vya migodi uku usukumani....Mtu yoyote mwenye pesa kuanzia billioni
weka mashaka juu yake hasa za kutafta mwenyew sio za kurithi
Usukumani wapi mkuu mboni km unatuvalisha kambaa kilazima?Hyo pesa ndogo mkuu kuna watu wanamiliki visima vya migodi uku usukumani....
Sema kwa hawa wasanii wetu hii biashara kwao haikwepeki
Nilikuwa nawaza hili jina nimesikia kwenye wimbo gani?Boss, Eric Mandala🕺🏿
View attachment 3214543