TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Noma sanaa aisee, bidada alikuwa ashameza vitu adimu
 
Ndugu zangu kuwenu makini na ugomvi ,tunajaribu ku-control hasira zetu ...Hasira huleta majuto baadae .


Mambo ya ugomvi haswa ukiwa mtu mzima sio mambo ya kujisifu ndo maana vijana wa huo mkoa wanajifanya wagomvi ,wababe kitu ambacho wengine tunaona kama ni utoto na ushambwa wa vijijini ..

Ugomvi sio mzuri faida hakuna ni matatizo tu.!!
 
Sema habari kama hizi huishia juu juu tu, hapo waandishi washamaliza.
Kilichojiri kimeripotiwa juu juu tu halafu wanapita ivi hakuna muendelezo.
 
Hii ishu chuga inazidi kukolea na bila jitihada za haraka usela mavi utazidi kumaliza raia
 


Lazima ni wa Meru0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…