TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maeneo mengine wanawake hata ujasiri wa kuchinja kuku tu hawana!

Unakuta kijana unajinyima huli hata kitimoto kuhofia kifafa na tegu.

Haupigi kavu na umechanja HBV kuepuka ngoma na homa ya ini halafu unakuja kufa kiboya kabisa.
 
Mikoa ya watu wapumbavu/wachawi/majambazi/wauaji/wabinafsi/uhuni/wanafiki/majungu/tabia za ovyo/walawiti/washenizwashezi/mamwinyi/roho mbaya/ n.k,n.k:
-Mara
-Arusha
-Tanga
-Kilimanjaro
-Pwani
-Geita
-Lindi
-Mwanza
-Simiyu
-Kigoma
-Mbeya
-Zanzibar [Unguja na Pemba]
-Mtwara

Mikoa watu fresh:
-Manyara
-Kagera
-Tabora
-Iringa
-Njombe
-Morogoro
-Ruvuma
-Singida
-Dodoma
 
And we got it cookin' like a one-eyed stove
You can catch me kissin' my girl with both eye' closed

2 chains & Khalifa, we own it
naikumbuka kwenye opening scene ya Fast Furious 6
Upo live kumbe🀩🀩🀩

Shawty you the one, aint too many choices

Louies on my feet, cost me ten pairs of Air Forces
When you mention me, know my girls are really gorgeous
I be all up in the cut, like some Neosporin

Tity two chains, I got my name on my upholstery

Hicho kichwa acha kabisa mkuu
 
🀣🀣🀣 wahaya banaa...
 
nilicheki, The Enforcer 2022
nilishaanza kumsahau maana kitambo yuko kimya
nikasema mbona chalii kama namjua huyu, ile english yake ya humo aisee πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu kama nyinyi mngechelewesha sana uhuru wa TANGANYIKA au nasema Uongo NKOI β˜ΊοΈπŸ˜ŒπŸ™‚πŸ˜ŠπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Watu kama nyinyi mngechelewesha sana uhuru wa TANGANYIKA au nasema Uongo NKOI β˜ΊοΈπŸ˜ŒπŸ™‚πŸ˜ŠπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Ni play Hero kwenye Uhai? Ili nife kishujaa??

Sina utani na maisha yangu, Nipo sijui drs la 6 ile Mtoto wa mamkubwa aliact kishujaa, nini kilifuata...?

Aliangukia mlangoni, huku Kazuia utumbo usimwagike kwa mkono..
Watu wa arusha mna mkumbuka Saimonii a.k.a Raider????

As long sio mwana riadha, Basi Mungu alinipaa hii speed kuokoa uhai wangu, nikikuwahi, na wewe huna bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…