Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Hapo ndipo tunaposhindwa kumuenzi Mwalimu Nyerere. Kumuondoa Snitch mmoja kwa afadhali ya Wengi ni jambo jema sana. Kama kweli wamekosa na ikathibitika watiwe korokoroni Maisha yao yote kuliko kuwaachia huru. Shetani hawezi kukengeuka na kuwa Malaika. Tujitafakari sana kabla ya ushabiki wa kuwaachia vibaraka wa aina hiyo.
 
Akili zilizodumaa za watu fukara wako bize kupambana na watu kuliko maendeleo
 
Tujifunze kuheshimu sheria

Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Hakuna sheria yeyote iliyofuatwa hapo. Hizo fedha alizolipa ni unyang'anyi wa mchana tu. Hakimu hana makosa kwa vile yote anayofanya ameelekezwa na walio juu yake.
 
Siri za Serikali
Kusaliti Nchi

Mbona hueleweki?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mabeberu kwa kusaidia kuachiwa kwa kabendera,endeleeni kutetea haki za watanzania wanaoteseka kisa mwehu mmoja kapewa rungu!
du yaani wewe unatakiwa uwe ndni kwa uhujumu uchumi ''mwehu''???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…