Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Sema tukubali kupigwa chapa kwani wengine wenye chapa hawazifunjiTujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tukubali kupigwa chapa kwani wengine wenye chapa hawazifunjiTujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Azishukuru CCTV bila hizo angemtangulia mama yakeKijana amesababishia mateso mzazi wake
Kwa kufurahia pesa za mabeberu na wanasiasa wasioitakia mema Nchi yetu
Sema tukubali kupigwa chapa kwani wengine wenye chapa hawazifunji
Kutofautiana na mtawala kuna husiano vipi na nchiNaam comrade usaliti kwa Nchi ni kitu kibaya sana
Wanasiasa walimtumia kuhujumu uchumi au ?Tujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Akili zilizodumaa za watu fukara wako bize kupambana na watu kuliko maendeleoHapo ndipo tunaposhindwa kumuenzi Mwalimu Nyerere. Kumuondoa Snitch mmoja kwa afadhali ya Wengi ni jambo jema sana. Kama kweli wamekosa na ikathibitika watiwe korokoroni Maisha yao yote kuliko kuwaachia huru. Shetani hawezi kukengeuka na kuwa Malaika. Tujitafakari sana kabla ya ushabiki wa kuwaachia vibaraka wa aina hiyo.
Hakuna sheria yeyote iliyofuatwa hapo. Hizo fedha alizolipa ni unyang'anyi wa mchana tu. Hakimu hana makosa kwa vile yote anayofanya ameelekezwa na walio juu yake.Tujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Ni TISS ndio wanaweza watoa nje ya radar zao viumbe ambao wana siri kuu za nchi.unajuaje if huko waliko wapo kimkakati, na wapo huko kwa maalum kuliko hata hizo walizokuwa wanafanya hapa nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lenye mwanzo lina mwishodu lakini kasota sana
Ya kuwachapa wasio na chapaNdio sheria inaitwa uhujumu uchumi act?
Siri za nchi kama uchumi kudorora na sera mbovu za kiuchumi za JPM?Wanasiasa wa Upinzani walimtumia kuvujisha siri za Nchi na wajumlishwe na Kabendera
Asante mabeberu kwa kusaidia kuachiwa kwa kabendera,endeleeni kutetea haki za watanzania wanaoteseka kisa mwehu mmoja kapewa rungu!Waliomtuma akachezee Mdomo wa Mamba wamemuacha Solemba, hata zile hashtag za Free Kabendera wamefuta kwny page zao za Mitandao ya Kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukia akili kutafakuri usitumie masaburi yako utaelewa mawanda mapana ya mchango wangu, otherwise no thanksAkili zilizodumaa za watu fukara wako bize kupambana na watu kuliko maendeleo
Kuvujisha siri za serikali yoyote duniani ni sawa na kuisaliti nchi husika.
Afanyae mchezo huo adhabu yake ndogo kabisa ni kukaa jela maisha yake yote,mara nyingi hua ni death sentence tu.
Naiomba serikali isifanye ajizi kwa yoyote yule atakaebanika kuhujumu serikali kwani atakua kahujumu nchi kwa ujumla.
Serikali hupatikana kwa njia ya uchaguzi hivyo afanyae hujuma huathiri ufanisi kwa wananchi walioiweka serikali hiyo na nchi kwa ujumla
kwani amefutiwa kosa si amehukumiwa au wewe unaona kaachiwa huru?Hii adhabu ya kuomba msamaha iko kwenye sheria gani ?
Kama amekiri kosa kinachofuata si ni hukumu au ukikiri loss unafutiwa kosa na DPP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni kuvuka mipaka au hilo la uhujumu uchumi?Kumbe mmeshaelewa kuwa amebambikiziwa kesi hizo kutokana na kalamu yake!!!!Yea yafaa wawe na kiasi hawa waandishi si kuvuka mipaka
du yaani wewe unatakiwa uwe ndni kwa uhujumu uchumi ''mwehu''???Asante mabeberu kwa kusaidia kuachiwa kwa kabendera,endeleeni kutetea haki za watanzania wanaoteseka kisa mwehu mmoja kapewa rungu!