Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Kaka,naheshimu sana maono yako, ila mimi binafsi sioni sababu ya kumsema sana jiwe sasa,kashalala na alitubu dhambi zake, tujenge nchi yetu,yeye hasikii haya wanayomsema,bura Lissu alimpa za uso akiwa mzimq
Acha watu wateme nyongo Media zilibanwa sana.
 
Kwahiyo wewe unamtolea vitisho vya mauaji mtu aliyesema ukweli ambao wengi wetu tunaujua kuwa Magufuli alikuwa na tuhuma za kuua watu (Ben Saanane nk). Kama kweli wewe upo TISS, umeonesha ujinga wenu uliojaa huko; badala ya kuchunguza tuhuma hizi na kumshauri rais, nyie mnatoa vitisho vya kuua watu. Kwa wale tuliofanya kazi na mwandishi huyu, tunamjua ni mtu mwenye akili na maarifa. Watu ambao mnatumia akili ya kuumiza na kuua hamuwezi kushindana nae.
 
Nasikia hata hilo jina na Eric ni zuga tu mkuu?
 
kwenye huu Uzi , Kuna mtu anatafutwa hapa. kufukuliwa kwa huu uzii si bule.
 
Nyuzi zingine tutazileta kama zilivyokuwa ili kuziheshimisha kutokana na jinsi zilivyoshiba .
 

Maza wa R4 sijui kama kweli anamaanisha au anazuga. Sijui kama anaelewa maana yake au ni porojo tu .... Kama kweli yuko serious basi achunguze mambomambo ya Mwendazake .... Haiwezekani kesi kama za akina Lissu kumiminiwa risasi zifunikwe chini ya carpet halafu bado mtu adai yuko serious na 4Rs ....!!
 
Hv serikali ni ileile au imebadilika Hv hawa CCM si walelwale,kwani ukisema hayo unayosema unaamini hayo magenge yameisha hayapo kabisa na unaamini uko salama sana na hao akina biswalo unaamini walishafukuzwa usalama wa Taifa? Yetu macho na masikio ngoja tutunze maneno.
 
huyu akili zishaga mruka msaliti wa nchi yake alivyogundulika na kukamatwa sasa hivi anaropoka tu hovyo hana la maana analosema zaidi ya maneno yasiyo na uhakika
 
huyu akili zishaga mruka msaliti wa nchi yake alivyogundulika na kukamatwa sasa hivi anaropoka tu hovyo hana la maana analosema zaidi ya maneno yasiyo na uhakika
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kaka,naheshimu sana maono yako, ila mimi binafsi sioni sababu ya kumsema sana jiwe sasa,kashalala na alitubu dhambi zake, tujenge nchi yetu,yeye hasikii haya wanayomsema,bura Lissu alimpa za uso akiwa mzimq
Alipata mpako wa wagonjwa kabla hajafa (last rites) kwa maana hiyo aliweza kutubu madhambi yote na kwa mujibu wa imani katoliki anaweza muda huu kuwa sehemu ya kwaya ya huko mbinguni.

Hakuna kitu muhimu kama kupata wasaa wa kutubu mbele ya padre halafu ukawekewa mikono kabla hujakata roho. Pia tusisahau ubinadamu wake, hakusita kuwatetea wanyonge na ushahidi ni namna alivyosindikizwa na maelfu kwa maelfu ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…