Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete


Yeye anaona ule ukuwadi aliyokuwa akiwafanyia mabeberu, akiendelea nao hato shughulikiwa.
 
He kabendera bcoz of this kwa Baba ni soon mashuhuda tunzeni memory ya hio tweet. Huwezi kuivua nguo state ukidhani unamvua Magufuli. It's unacceptable.

Now who is safe kule TIS waanze kusema tulikuwa tunatumwa?.

Mbona Samia alikuwa Makamu Rais, uwajibikaji wa pamoja uko wapi?

Vibwengo kama akina kabendera sio wa kuwachekea.
 
Lipa kodi, lipa tozo nchi iendelee..unataka hela zishuke mbinguni?
 
NI kweli marehemu alikuwa na michezo ya kihuni.
Ila kwa Sasa haya unayofanya bwana kabendera hayana maana.
Yupo zake chato anajigeuza geuza.
Na kule alipo Hana smartphone
Yana maana sana hata sasa...

Amekufa kiongozi wa genge, lakini allies wake na aliokuwa anawatuma kuua watu wapo. Hawa ni lazima wawajibike kwa matendo na makosa yao...

Hata kama waliopo hawatashughulikia uovu huu, nakuhakikishia hata kama ni miaka 50 ijayo, watakuja viongozi wengine wa nchi hii na watashughulika na uovu wa toka 1961 hadi sasa...

Yaani wahusika lazima waje kuwajibika na kulipia uovu wao na waliotendewa uovu huo wapate haki zao...!!

Ndiyo maana ya kauli hizi;

HAKI ya mtu huwa haipotei bali hucheleshwa tu. Na; Hakuna uovu usiokuwa na malipizo (mshahara) wake...!
 
Mkuu una Manisha Nini wewe!!?
Namaanisha wote tutakufa Kwa kuwazulia wafu, kuwasengenya wafu, kuwatusi wafu, tuombe ushuhuda. Kama yeye alizikwa basi hata wengine pia watazikwa vilevile.

Tunamshukuru Mungu, Magufuli aliteketeza dhahma ya ugaidi wa kibiti rufiji na mkuranga. Angalau kwa hili nitamkumbuka daima.

Mungu fundi hutwaa Kwa wakati atakao yeye.
 
Unataka atekwe auawe kisa kamvua nguo mungu wenu wa Chato?
 
Nachojua Mimi wengi walioguswa walistahili hivyo na zaidi, ndomana tunaelekea mwaka wa pili sasa na wako kimya kama vile hakuna kilichowakuta.

Na hao watakuwa wanahusika moja kwa moja kumuondoa yule mzee kwa sababu mambo yao yangewekwa wazi ingekuwa ni aibu kubwa.
 
Ulitaka ayaseme lini? Ulitaka ayaseme mapema ili auawe?
Alivyokuwa hai ili ajibu mtuhumiwa, uoga wake wakutosema kipindi mtuhumiwa yupo hai kama umbea au udaku.
 
Yaani unataka jiwe afichiwe ujinga wake ? Usimtishe Kabendera mburura wewe. Jiwe ndiyo kagarazwa na legacy imezamishwa kaburini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…