Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Weeeeeh angenyofolewa kiungo kimoja kimoja kwanza kwa kutoa siri... Nadhani genge lilishagundua kuna leakage za uovu wao Nadhani ndio sababu ya kumkamata.
Na kuna uwezekano mkubwa hata hao waluokuwa kwenye genge hawakupenda kutesa au kuua watu.Walilazimishwa.Na si ajabu taarifa hizo zinatoka humohumo kwa kuutumia tu mdomo wa Kabendera.Watu wema bado wapo.Amini.
 
Kulipa kodi mihimu sana ila kinachoaatikana kisifanye wachache waishi kama wako mbinguni na wengine kama wako shimoni. Ni nani asiyelipa kodi/tozo. Lakini, je, hakuna anayekosa hata panado japo analipa na maji anakunywa ya kisima?
 
In magufuli word ukiona unasifiwa na adui rudi nyuma jiulize umekosea wapi
Ila ukiona adui ana lalamika jua kabisa umewatwanga kweli kweli

Hizi zote ni propaganda tu hakuna ukweli wowote lakini kama kuna ukweli ujuwe kabisa ulikuwa mafia fulani ukakutana na mafia mwenzako akakumafia uko uko
JPM hakupenda ujinga
 
Jipe Moyo na Misemo HEWA
 
Hii awamu ya sita imekuwa ya hovyo sana.Inawaambia watu punguani kama hawa kumchafua mzalendo ili tusahau kupanda bei kwa vitu vyote hapa nchini.Vitu vimepanda bei kwa kiwango kikubwa haijawahi kutokea toka tupate uhuru
 
Nyerere alitaifisha shule na mahospitali akawasomesha watu wote shule ya msingi hadi chuo kiku, hivi kuna mtu unayeweza kumshukuru kama yeye? Lakini ni mtu anayetukanwa sana sana!

Ukiwa kiongozi do the right thing, tenda wema nenda zako! Usingojee shukrani

Kila kitu kibaya ni mwendazake, kwani aliyeanza kutoa watu kucha na meno ni nani? Uktekwaji wa ulimboka, yule mwandishi ulitokea lini?

Kwa hiyo baada ya mwendazake kufa CCM imekuwa nzuri!!! ???
Kazi kweli!
 
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
Angesemea wapi ?

Ndio maana kuna Mungu!!! kwa sababu ukishindwa kufanya jambo lolote jema eti kwa sababu tu ya nguvu ya Kibaraka wa Shetani, basi Mungu humteza nguvu Kibaraka huyo kwa namna aijuayo ili upate kufanya jambo lako jema kwa amani.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Jiwe, alikua kibaraka wa Shetani, alieumiza watu waliotetea haki za binadamu kutokana na tamaa yake ya madaraka, then Mungu akamteza nguvu kwa kumchukua ili watu waishi kwa Amani.
 
Mungu ashukuriwe sana kwa kutuondolea huyu wakala mkuu wa shetani.
 
Hii awamu ya sita imekuwa ya hovyo sana.Inawaambia watu punguani kama hawa kumchafua mzalendo ili tusahau kupanda bei kwa vitu vyote hapa nchini.Vitu vimepanda bei kwa kiwango kikubwa haijawahi kutokea toka tupate uhuru
Fanya kazi wewe. Vitu havijapandishwa bei na Samia, bali ni uviko-19 na Vita vya Ukraine na Russia. Acha kutafutiza visababu vya kumchafua mhe rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…