Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Kweli Mkuu bulaya yule wa Ccm alikuwa na nidhamu na mjenga hoja

Ila huyu wa Chadema amejaa ujinga mwingi, kiburi, anajiona yeye ni bora

Huko kwenye group la Chadema amegeuka yeye ndiye Mungu mtu
Huyu hatufai ,abaki kuwa mbunge wa twitter,mdomo umeponza kichwa,sidhani kama wapiga kula wake wanahaja nae tena,kajimaliza mwenyewe,pia nahisi anavutishwa ganja na kina mdee ,hakuwaga hivi Easter Bulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema

Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo
Ni hali ya kukata tamaa na kukengeuka. Naamini wapinzani wengi wana copy na kupaste dhana ya upinzani toka nchi nyingine (mfano Afrika kusini). Itawachukua muda kuja na model mpya ya upinzani unaoendana na mazingira yetu. Ni kama ilivyo dini, na ukabila. Udini ulitaka kuleta shida fulani kipindi cha Ally Kigoma Malima (alipotaka kukopy uislamu wa nchi nyigine kuuleta Tanzania akiwatumikia wazungu waliokuwa wanataka jamii zetu zisichangamane kwa sababu ya dini). Sasa wapinzani kama ni welevu wajifunze kwanini wahaya, wanyakusa na wachaga wana ukabila ila Tanzania bado inahesabika haina siasa zenye mlengo wa kikabila kama ilivyo Kenya.
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali. Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi. Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu.

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao? Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu! Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
Mbona nyie mnawapigia magoti wawasamehe kulipa mikopo?
 
Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema

Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo
Naona ushapandwa na beberu sasa unahanya hanya. Beberu bwana!

1588661677105.png

Pichani, BEBERU likinywa Bia yetu
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali. Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi. Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu.

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao? Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu! Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
Esther Bulaya na Halima Mdee ninawakubari ila uwa mara nyingi hawapimi impact ya post na matamshi yao kabla ya kuzungumza...
 
Rasi anatoa eti INSTRUCTIONS watu wasilipwe uko ni kuingilia mamlaka ya bunge. Uganda tumeshuhudia spika mwanamke akimchimbia biti Museveni. Huo ndio utawala wa bunge. Rais hana mamlaka ya matumizi ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu. Ni Tanzania pekee yanapotokea

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu si ukae huko huko Uganda? Vya Tanzania vinakuwashia nini?
 
Back
Top Bottom