Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

5 mbn wadogo angefanya hata 50

Mzee hapo najipointiaa wanawake wenye vyura,kiuno,mguu tuu mwanzo mwenga

Mswati smart sana

Ova
Sasa waafrika tulivyokuwa bogus utaanza sikia viongozi wengine wanampinga. Hapo ndio full raha kuenjoy kugegeda mbususu tano tofauti bila maswali alafu na nyumba juu
 
Sasa waafrika tulivyokuwa bogus utaanza sikia viongozi wengine wanampinga. Hapo ndio full raha kuenjoy kugegeda mbususu tano tofauti bila maswali alafu na nyumba juu
Unapewa mbusumbusu
Ila huko kwa wenzetu safi sana
Dem anakuambia mwenyewe nna ham na kupig
Ila bongo ukitaka mbususu au dem akikuletea
Ujue hapo ni hela kitafuata,yaani hawako fair kabisa
Mwwnyez mungu kawaumba nazo bure ila wao wanatuzia

Bwana wee kesho tukajaze form tupate passport tuingie zetu eswatini. Kama najiona vile nipo pale lugogo sun nimezungukwa na wake watano
 
Uliona wapi hilo? Kwa taarifa yako tu, wanawake na wanaume wanazaliwa kwa ratio sawa, tena wanaume wanazidi kidogo..kaangalie takwimu za sensa duniani kote utaona hilo

Wanaume wakioa wanawake 5 kuna wengi watabaki bila wake
 
Serikali itagaramia kila kitu kama kipindi cha Moumar Gadaf nchini Libya.
Western education and life styles ndio yaliyotufanya waafrika tuwe na maisha magumu kuliko mababu zetu walivyokuwa wakisastain maisha yao.
Nenda kaishi ngorongoro na wamasai au wahadzabe huko porini, hujanyimwa, utaoa hata wake 20
 
Sio magharibi hata pale mashariki ya kati..wote hao walikuja kutupotezea direction waafrika...heko kwa muswat kuendelea kulinda mila na taratibu za kiafrika.

#MaendeleoHayanaChama
Nenda kaishi porini mkuu, huko usukumani, umasaini na kwa wahadzabe huko watu wanaishi hayo maisha unayoyataka, ya karne ya 14, mtuache sisi na uzungu huku mjini
 
Sijaelewa, kama hujaoa inakuwaje? Au wameweka umri kwamba ukifika umri fulani lazima uoe hao watano?
 
Hii taarifa ilikanushwa 2019 na msemaji wa serikali yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…