Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha


Alikuwa na shost hapa nchini sijui walikuwa wanajadili mambo gani wakikututana kwenye ziara zao
 
Inaonekana uchumi wa hiyo nchi uko kwenye matendo ya ndoa tu
 
Mpaka Sasa najaribu kusoma comments nipate details za huko ila wadau hawatoi hoja za kulidhisha moyo Wangu,hebu tuanze nafikaje huko?
Gharama,
Hali Yao ya uchumi na kupatikana Kwa michongo?
 
Chai iliyokosa sukari
 
Dini hz bhn mbn yey yakobo alioa wake wawili Tena ndugu ila hatulalamiki vip kuhusu sisi
Na pia Ana nguvu
Anatajwa kbsa mungu wa Ibrahim Isaac na yakobo
 
Mpaka Sasa najaribu kusoma comments nipate details za huko ila wadau hawatoi hoja za kulidhisha moyo Wangu,hebu tuanze nafikaje huko?
Gharama,
Hali Yao ya uchumi na kupatikana Kwa michongo?
Mzee wa msoga alikuwa rafiki wa huyo mfalme huenda anajua mengi
 
Nenda kaishi ngorongoro na wamasai au wahadzabe huko porini, hujanyimwa, utaoa hata wake 20
Kwani mjini ndio inashindikana, we wakuja nini? Kuongea hayo haimaanishi kuwa jambo hili lifanyike bali tunajaribu kupima mizani kati ya maisha ya wazee wetu na sasa yaliyochanganyika na uzungu mwingi.
 
Hahaha mkuu, that will be too much aisee. We binafsi utaweza wakati una wanawake watano wanaotambulika kihalali kama wake zako?
Nabii Suleiman alikuwa na wake 700 lakini bado akawa na michepuko 300 {Masuria}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…