ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hata bila maji ya bahari yaani kwenye vichoteo vya serikali maji Lita 20 sh.50 bei ikizidi Huwa ni 100 Sasa hii ni hela ya kulalamika?Maji ya bahari yanatibiwa na yanakuwa safi kwa kunywa.
Process inaitwa Sea water desalination
Ila ni gharama sana.
VIONGOZI WA TANZANIA NI WEZI.
WAMEKAA KUJILIMBIKIZIA MALI.
Kwani wewe hutaki kupiga?Hizo rate zinawezekana mbona, lakini siyo kwenye nchi zilizojaa majizi kama hapa bongolala, majitu yanawaza kupiga tu na si kingine.......stupid katika ubora wao huambulii hata mabua.
Mkuu wewe umedandia gari kwa mbele nimemjibu aliesema maji ya bahari hawezi tumikaHata bila maji ya bahari yaani kwenye vichoteo vya serikali maji Lita 20 sh.50 bei ikizidi Huwa ni 100 Sasa hii ni hela ya kulalamika?
Naona jiwe limekupata, majizi mnasababisha wananchi wanaishi maisha magumu, hopeless!!Kwani wewe hutaki kupiga?
Jibu swali hutaki kupiga pesa?Naona jiwe limekupata, majizi mnasababisha wananchi wanaishi maisha magumu, hopeless!!
Kwa Tanzania kwenye umeme kumewekwa Kodi kadhaa ndio hiyo pia inaleta utofauti..Umeme unaozalishwa na Maji wanasema ni gharama nafuu sana hata Zimbabwe na Zambia umeme upo chini sana ila Tanzania Umeme ni kwa matumizi ya taa kupiga pasi na kucharge simu kidogo fridge nyumba nyingi hazina washing mashine wakiogopa gharama kubwa ya Tanesco au uweke Jiko la umeme hiyo bill yake wanaweza kuondoka na nyumba...
Imekuchoma hiyo, utakuwa miongoni mwa wale stupid si bure😂Jibu swali hutaki kupiga pesa?
Ni hii hii Tanzania 9k unit 90 au ni Burundi??Kama unajua Sasa unashangaa nini? Kipi Cha kula umeme Hadi izidi? Kama 9000 unapata zaidi ya unit 90 ,nyumba sio kiwanda au zizi
Tanzania hii hii, mbona hushangai lita 20 ya maji kuuzwa sh. 50?Ni hii hii Tanzania 9k unit 90 au ni Burundi??
Wapi huko ukilipa 9000 wapata unit 90?Kama unajua Sasa unashangaa nini? Kipi Cha kula umeme Hadi izidi? Kama 9000 unapata zaidi ya unit 90 ,nyumba sio kiwanda au zizi
Boya wewe ngoja tuendelee kuzitafunaImekuchoma hiyo, utakuwa miongoni mwa wale stupid si bure😂
Pole yakoWapi huko ukilipa 9000 wapata unit 90?
Ni wizi tuu mkuu kwa nini wasitoe kodi ukisikia wameweka ruzuku sehemu wanayochukua kodi jaribu kutikisa kichwa hapo ili upate majibu sahihi...Kwa Tanzania kwenye umeme kumewekwa Kodi kadhaa ndio hiyo pia inaleta utofauti..
Kumbuka bei ya umeme unayouzawa hata Sasa Ina ruzuku usisahau Hilo
Wao ni masikini ndio maana hawana uwezo wa kulipa bill za maji na umeme, sisi hatuko kwenye hilo kundi broInashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Ndio maana umesema wao ni masikini, kwahiyo masikini hua hawezi kumudu gharama za maisha
Sawa na wewe ukae mkao wa kutafunwa muda utakapowadia......Boya wewe ngoja tuendelee kuzitafuna