Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Hiyo elfu kumi yenyewe waliwabembeleza ili ifike hapo maana ilikua shilingi 6500
Wanaweza hata kuwapa umeme Bure kama Zambia zamani maana ni ruzuku tuu..

Tanzania haiwezi kubeba ruzuku ya Kila kitu
 
Nina REA umeme kila mwezi naweka 10k ,, unit 75 natumia 40 au 45 ..maji unit mbili zikidi zatu ...
 
Umewajuaje kuwa ni chadema mkuu??Kuna alama fulani umeona?? Nipe mbinu basi na mimi niwe nawatambua, au mtu akiongea kuhusu bei za umeme na maji kuwa juu Tz ndio Mwanachadema.
 
Umewajuaje kuwa ni chadema mkuu??Kuna alama fulani umeona?? Nipe mbinu basi na mimi niwe nawatambua, au mtu akiongea kuhusu bei za umeme na maji kuwa juu Tz ndio Mwanachadema.
chadema anajificha basi wako kikudakuda tuh we mtizame mbowe
 
Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Kumbuka mto Nile unapita huko. Wameutumia vizuri Sana na wanazalisha umeme kwa wingi sana kwa kutumia maji hayo hayo. Pia ni nchi ambayo uchumi wake ni nzuri ukilinganisha na wa Tanzania.
 
mungu hakupi vyote,pia wachache sana huko ethiopia wanafaidi hayo maisha
nimekutana na wa ethiopia wengi km wakimbizi pale uganda na wana malalamiko kibao dhidi ya viongozi wa nchi yao kama kweli hayo ndo maisha mazuri why wakimbie nchi yao!!
 
Hyo kumi Yao uipate Sasa utatezeka Hadi utie adabu ,ghali Sana huu umeme

Exachage rate za USD vs Ethiopian birr Ni kubwa ndipo utakuwa ujui

Think about inflation also
 
Watu wamefikia kulaumu bila kuomba reference 🤣
 
Kule watu wanainvest ktk vitu vya maendeleo na huku watu wanajilikimbizia mali.
 
Sasa kama umeme na maji ni bure ni kwa nini wananchi wengi wa Ethiopia wanakimbia nchi???
 
Kama maisha ni marahisi hivyo mbona wana wahamiaji haramu Kila kona! Tanzania itabaki kua sehemu salama kuishi katika Africa.

Sisi siyo watu wa kukaa na kufananisha na nchi nyingine. Sisi ni misukule mkuu.

Toka lini msukule ukawa na akili?

Msukule ukishakula ukashiba pumba basi, mambo mengine wala hata haujali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…