Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

Kujiuliza sana ni nini sawa au si sawa kwa mwanaume kufanya hata kwa masuala madogo kama hayo. Ni ishara kwamba una insecurities katika uanaume wako kwa hivyo maswali au kutafuta mipaka kama hiyo inaakisi mashaka na hofu uliyonayo kiasi cha kutafuta namna za kuwa " Mwanaume zaidi kuliko kuishi kwa kujiamini kama mwanaume yoyote". 🙏🏽
 
Simu yake, sura yake, hajakulazimisha umuangalie, wewe kama si kuzeeka vibaya na ushamba tu tatizo lako nini?
 
Ndio kujiangalia kila wakati?
 
Kwa hiyo,una maana mtu akiwa anajishuku sana,anaweza kuulizwa jinsi yake akababaika kuitaja?
 
Sio sawa kabisa. Mwanaume kweli anatakiwa kujiona kwenye reflection ya macho ya wengine tu, sio zaidi ya hapo. Vilevile mwanaume kweli hatakiwi kumiliki simu yenye camera, anatakiwa kutumia simu za tofali zenye antena zilizotoka miaka ya 90. Vilevile mwanaume kweli hatakiwi kabisa kuangalia mwanaume mwengune akiangalia picha yake kwa ukaribu kiasi cha ku-notice mikunjo ya sura yake. "SHERIA ZA UANAUME KIFUNGU 780A, (1965)"
 
Hiyo sheria imetungwa mwaka mmoja baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Walilenga kuepuka nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…