mkwe wangu mtoto wa mjini hawezi kufa nja. ngoja niattach birth certificate yake ndo uone kuwa sidanganyi.... mtoto wake ambae ni x husb wangu ni mara 3 ya umri wangu halaf mi mwenyewe nacheza kwenye 30 huko.. unafikiri King'asti atakuwa na umri gani? think babu.. think.
Tatizo ni nini mdogo wangu?
Mbona watu kibao wameanzia hapo na sasa wanadunda maisha....
Msimkatishe tamaa mwenzenu..
Babu DC!!
wewe mbona id fake na avatar feki ila mm nakuzimikiajeee!!! ooopss nilisahau kama we shem wangu... hisia hazina adabu.
Kheeeeerrrrrrrrr!
Paw mi nimesoma tu sijachangia kitu.kwanza uzi wenywe nimeuona leo!
Aftena mandieta hata simjui hakyamama vile.mi nlikuwa najipitia zangu ndo nikakuta kina Nicas Mtei Ruttashobolwa, FP na Preta wanaonge ongea hapa mi nikawauliza kwan niiiini eti oh King'asti kaanzishiwa sredi .mi hata sikusema kitu!nikawa nimejikalia tu kimya.
Hayo maelezo hapa siyo mahali pake mdogo wangu...
Bado tuna tatizo linalohitaji usumbufu..
mwambie huyo mama mkwe wako atoe jibu basi ili tufunge huu uzi...
Tatizo liko wapi?
Babu DC!!
Hahahah....
Hata mimi nakuzimikia shem, ID yako ilivyo ya Kilatino huwa nahisi kama nachat na kina Babarita vile...
we umetaka maelezo halaf unasoma huku umefumba macho.... hivi nilikuamkia babu? shkamoo..salam kwa bb.
hehehehehe!!!!! hujatulia shem. lol
aaaahhhh.... mkwe wangu kashawahiwa na ba mkwe huyo atangoja sana
Hii ndiyo inaitwa rushwa ya nini eti?
Wewe kambelelezee kwanza dogo watu halafu uje na jibu ....
Baada ya hapo tunaweza kuendelea na mambo mengine...sawa?
Babu DC
Hehehe!!! mzima lakini mpendwa...maana weye inabidi kukuvizia ili tusalimiane
Usiusemee moyo wa mwenzio.
mi namjua mkwe wangu. ngoja arudi umsikie...
Amekawiza majibu tangu jana.
na kweli tuviziane maana..... mmmh!!! mdogo wangu anakubanaje!!! mi mzima. weekend inaishaje sasa?
Yaani haya mapenzi ya mdogo wako mbona nafaidi mie, hapa shem najiandaa kuegesha mbavu zangu...si wajua kesho tunaanza kuripoti kwa Mkoloni kwa wiki nyingine!