Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

kaputula

Senior Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
173
Reaction score
226
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu.
Kwa uhakika kuwapa DPW kusimamia bandari ni kuonesha udhaifu tu kwani ni jambo linahitaji weledi tu na umahiri wa usimamizi. Sio ujuzi wa kutengeneza jet engine. Ni kushindwa kuweza kuwadhibiti wazembe na wapenda rushwa kwa kua uongozi unashiriki vitendo vya rushwa.
Nina hakika Magufuli angekua hai usingeona waarabu au wahindi kuja kudhibiti bandari zetu kwa kisingizio wanakuja kusimamia. Hao vigogo hawaji na uamuzi wa kutoa bandari kuendeshwa na wageni bure. Wanakua wanapewa chao mapema kwa hivyo wanaachia mamlaka kwa wageni. Kwa nini mshindwe kusimamia bandari yenu. Chuo cha usafiri tunacho, chuo cha bandari tunacho. Kuna wataalam wengi tu mahiri wa usimamizi na uendeshaji nchini. Kuna wataalam wengi tu wa utawala na mambo ya fedha nchini. Kwa nini tushindwe kama siyo serikali inatafuta upigaji tu. Jamaa zetu wengi wanaofanya bandarini wanashangaa kipi hasa hao waarabu wa DPW wanafanya au wameleta. Sana sana wanakarabati mashine za kupakia mizigo mfano kuvisha tairi mpya cranes zilizotelekezwa kwa uzembe.
Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
 
Kwa hyo watakaa kubishaa nikukujiee hapo 😄
FB_IMG_1746203025363.jpg
 
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu.
Kwa uhakika kuwapa DPW kusimamia bandari ni kuonesha udhaifu tu kwani ni jambo linahitaji weledi tu na umahiri wa usimamizi. Sio ujuzi wa kutengeneza jet engine. Ni kushindwa kuweza kuwadhibiti wazembe na wapenda rushwa kwa kua uongozi unashiriki vitendo vya rushwa.
Nina hakika Magufuli angekua hai usingeona waarabu au wahindi kuja kudhibiti bandari zetu kwa kisingizio wanakuja kusimamia. Hao vigogo hawaji na uamuzi wa kutoa bandari kuendeshwa na wageni bure. Wanakua wanapewa chao mapema kwa hivyo wanaachia mamlaka kwa wageni. Kwa nini mshindwe kusimamia bandari yenu. Chuo cha usafiri tunacho, chuo cha bandari tunacho. Kuna wataalam wengi tu wa usimamizi na uendeshaji nchini. Kuna wataalam wengi tu wa utawala na mambo ya fedha nchini. Kwa nini tushindwe kama siyo serikali inatafuta upigaji tu. Jamaa zetu wengi wanaofanya bandarini wanashangaa kipi hasa hao waarabu wa DPW wanafanya au wameleta. Sana sana wanakarabati mashine za kupakia mizigo mfano kuvisha tairi mpya cranes zilizotelekezwa kwa uzembe.
Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
Kumbe shida ni waarabu,vipi uliomba nawewe uwekeze ukakatariwa?
 
si mizigo inajaa hapo bandari salama mpaka inapwayaa
 
Kumbe shida ni waarabu,vipi uliomba nawewe uwekeze ukakatariwa?
Jinga tu wewe. Tukisema ubeberu wa kizungu unaelewa sasa huu wa waarabu unaona sawa tu. Au wewe ni muarabu?
 
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu.
Kwa uhakika kuwapa DPW kusimamia bandari ni kuonesha udhaifu tu kwani ni jambo linahitaji weledi tu na umahiri wa usimamizi. Sio ujuzi wa kutengeneza jet engine. Ni kushindwa kuweza kuwadhibiti wazembe na wapenda rushwa kwa kua uongozi unashiriki vitendo vya rushwa.
Nina hakika Magufuli angekua hai usingeona waarabu au wahindi kuja kudhibiti bandari zetu kwa kisingizio wanakuja kusimamia. Hao vigogo hawaji na uamuzi wa kutoa bandari kuendeshwa na wageni bure. Wanakua wanapewa chao mapema kwa hivyo wanaachia mamlaka kwa wageni. Kwa nini mshindwe kusimamia bandari yenu. Chuo cha usafiri tunacho, chuo cha bandari tunacho. Kuna wataalam wengi tu mahiri wa usimamizi na uendeshaji nchini. Kuna wataalam wengi tu wa utawala na mambo ya fedha nchini. Kwa nini tushindwe kama siyo serikali inatafuta upigaji tu. Jamaa zetu wengi wanaofanya bandarini wanashangaa kipi hasa hao waarabu wa DPW wanafanya au wameleta. Sana sana wanakarabati mashine za kupakia mizigo mfano kuvisha tairi mpya cranes zilizotelekezwa kwa uzembe.
Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
Kabla ya DPW walikuwepo wachina na hakuna lililofanyika.
sasa wemekuja hawa angalio tunaona ona kitu .
 
Wachina walikua lini bandarini? Kwanza ilibidi kuwatupilia mbali kabisa DPW kwani lengo la Dubai wenye hiyo kampuni tuliliona kwenye ule mpango wao kutaka kupora bandari zetu zote bahari, maziwa hadi mito. Hadi mmoja wa vigogo wazalendo akasema masharti ya ule mkataba aliyopitisha speaker bungeni tulia kwa hila hayafai hata kulumangia ugali
Ilitakiwa tusiwe kabisa na imani na DPW ya Dubai. Ona jinsi dubai walivyokamata ardhi yetu ya loliondo sasa ni zaidi ya miaka 35. Loliondo imekua sehemu ya utawala wa Dubai. Hatujui kiongozi gani atakuja kuweza kuwatimua hao wakoloni wa kiarabu.
 
Kwan si walitumwa wataalam wa masuala ya wuwekezaji bandarini akina kitenge, hando na beberu wakafany utafiti kuhus dpw, kisha wakajiridhisha ndio maana gavoo ikaingia mkataba!! So unataka nn mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio mi niliomba TRA juzi nikakataliwa hata interview sijaitwa.. nafikiri nyie mmewekwa kila social network
TRA uliomba kuwekeza TRA au kazi? Kwani DP World iliomba kazi au tenda?
 
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu.
Kwa uhakika kuwapa DPW kusimamia bandari ni kuonesha udhaifu tu kwani ni jambo linahitaji weledi tu na umahiri wa usimamizi. Sio ujuzi wa kutengeneza jet engine. Ni kushindwa kuweza kuwadhibiti wazembe na wapenda rushwa kwa kua uongozi unashiriki vitendo vya rushwa.
Nina hakika Magufuli angekua hai usingeona waarabu au wahindi kuja kudhibiti bandari zetu kwa kisingizio wanakuja kusimamia. Hao vigogo hawaji na uamuzi wa kutoa bandari kuendeshwa na wageni bure. Wanakua wanapewa chao mapema kwa hivyo wanaachia mamlaka kwa wageni. Kwa nini mshindwe kusimamia bandari yenu. Chuo cha usafiri tunacho, chuo cha bandari tunacho. Kuna wataalam wengi tu mahiri wa usimamizi na uendeshaji nchini. Kuna wataalam wengi tu wa utawala na mambo ya fedha nchini. Kwa nini tushindwe kama siyo serikali inatafuta upigaji tu. Jamaa zetu wengi wanaofanya bandarini wanashangaa kipi hasa hao waarabu wa DPW wanafanya au wameleta. Sana sana wanakarabati mashine za kupakia mizigo mfano kuvisha tairi mpya cranes zilizotelekezwa kwa uzembe.
Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
Sifa ile ile ya mwafrika, kujidanganya anao uwezo wa kufanya kitu wakati anapopewa fursa anajikita kwenye ufisadi na uchafu wa kila aina katika hiyo nafasi anayopewa.

Kama wataalam tumesomesha mbona wizi kwenye maofisi na taasisi mbalimbali upo mpaka kesho?.

Kila CAG kuanzia Utoh anaimba wimbo mmoja tu kwamba hati chafu zimejaa katika kila idara za serikali, huo usomi na utaalam tulionao una msaada gani ikiwa uchafu wa ufisadi tunaendelea kuzeeka nao?.
 
Biashara kwa sasa haipo kwenye kuiba rasilimali zetu tena. Ipo kwenye kushikilia malangonya nchi na miundombinu muhimu inayopitisha hizo rasilimali.
 
Wachina walikua lini bandarini? Kwanza ilibidi kuwatupilia mbali kabisa DPW kwani lengo la Dubai wenye hiyo kampuni tuliliona kwenye ule mpango wao kutaka kupora bandari zetu zote bahari, maziwa hadi mito. Hadi mmoja wa vigogo wazalendo akasema masharti ya ule mkataba aliyopitisha speaker bungeni tulia kwa hila hayafai hata kulumangia ugali
Ilitakiwa tusiwe kabisa na imani na DPW ya Dubai. Ona jinsi dubai walivyokamata ardhi yetu ya loliondo sasa ni zaidi ya miaka 35. Loliondo imekua sehemu ya utawala wa Dubai. Hatujui kiongozi gani atakuja kuweza kuwatimua hao wakoloni wa kiarabu.
Siasa chafu na zenye kukosa maono huwa zinaanzia na kuishia humu humu JF. Huko kwenye maisha halisiaa inayoangaliwa ni tija yenye faida kwa Taifa na sio hizi kelele za chura.

DPW tangu aanze kufanya shughuli pale TPA pato limeongezeka maradufu, pia foleni za kijinga za utoaji na upakiaji wa makasha zimepungua.

Mlikuwa mnategemea kile kizungumkuti cha miaka ile katika kupiga pesa za bure bure, Samia kawakomesha.
 
Sifa ile ile ya mwafrika, kujidanganya anao uwezo wa kufanya kitu wakati anapopewa fursa anajikita kwenye ufisadi na uchafu wa kila aina katika hiyo nafasi anayopewa.

Kama wataalam tumesomesha mbona wizi kwenye maofisi na taasisi mbalimbali upo mpaka kesho?.

Kila CAG kuanzia Utoh anaimba wimbo mmoja tu kwamba hati chafu zimejaa katika kila idara za serikali, huo usomi na utaalam tulionao una msaada gani ikiwa uchafu wa ufisadi tunaendelea kuzeeka nao?.
Tufanyeje sasa?
 
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu.
Kwa uhakika kuwapa DPW kusimamia bandari ni kuonesha udhaifu tu kwani ni jambo linahitaji weledi tu na umahiri wa usimamizi. Sio ujuzi wa kutengeneza jet engine. Ni kushindwa kuweza kuwadhibiti wazembe na wapenda rushwa kwa kua uongozi unashiriki vitendo vya rushwa.
Nina hakika Magufuli angekua hai usingeona waarabu au wahindi kuja kudhibiti bandari zetu kwa kisingizio wanakuja kusimamia. Hao vigogo hawaji na uamuzi wa kutoa bandari kuendeshwa na wageni bure. Wanakua wanapewa chao mapema kwa hivyo wanaachia mamlaka kwa wageni. Kwa nini mshindwe kusimamia bandari yenu. Chuo cha usafiri tunacho, chuo cha bandari tunacho. Kuna wataalam wengi tu mahiri wa usimamizi na uendeshaji nchini. Kuna wataalam wengi tu wa utawala na mambo ya fedha nchini. Kwa nini tushindwe kama siyo serikali inatafuta upigaji tu. Jamaa zetu wengi wanaofanya bandarini wanashangaa kipi hasa hao waarabu wa DPW wanafanya au wameleta. Sana sana wanakarabati mashine za kupakia mizigo mfano kuvisha tairi mpya cranes zilizotelekezwa kwa uzembe.
Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
Nchi inaongozwa kwa maono ya machawa unategemea nini?
 
Back
Top Bottom