Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Labda yeye anaona point, kwa kuwa Tanzania tuna tabia ya kusifia wezi na mafisadi; mtu akiwa TRA anakula sana rushwa na kujenga tunamsifia, asipojenga wala kununua gari miaka mitano ya kuwa TRA tunasema kazubaa!Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Tufungue macho jamani. Vigogo wapenda rushwa wasitufanye raia wa nchi hii ni vilaza watupu.
Kwa hiyo hata mwizi ambae anaiba kwa akili nyingi bila kukamatwa au kuchukuliwa hatua labda anastahili sifa!